Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini.
Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
Nimefuatilia kwa undani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari ambayo inaweza kujitokeza endapo some measures hazitochukuliwa wakati wa ujenzi:
Pamoja na mambo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji
Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU
Watumishi wa MUNGU...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama.
Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena lakuhamisha taarifa zake ahangaike kiasi Cha zaidi ya Miaka.
Huu ni uonevi kwa watumishi , sio...
Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake.
Matumizi ya simu...
Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo huo umeingia na pesa hakuna
Mtu unategemea ufaulishe deni Ili upate tu-cent serikali nayo inakubania...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa...
Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo.
Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta.
Sasa baada ya mambo yote hayo wengi wetu tumetega macho na masikio matarajio yetu ni kuona mkeka kabambe wa...
Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.
Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu.
Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu.
Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu.
Siku njema.
Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi!
Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96
Lakini kuna hizi mambo kwa baadhi tu ya watu lakini wengine wanalia na njaa
Kuna haja gani wakuu wa majeshi...
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume.
Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane.
Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.