Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji.
Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10.
Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya.
Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya.
Eti leo wanajifanya...
VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa.
Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana?
Hamlipi Watumishi waliochini...
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa.
-
Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao.
Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu.
Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika,
"Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii.
Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti za Benki za Hospitali hiyo kwakile wanachodaiwa kuwa ni madeni wanayoidai Hospitali.
Kwasasa sisi...
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu.
Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
Anonymous
Thread
idara
mfumo
mfumo wa pepmis
morogoro
pepmis
viongozi
vizuri
watumishi
Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga kazi.
Wengi wao wapo vijijini ndani ndani huko na pikipiki zao asubuhi na jioni wanabebana kwenda na...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi.
Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo
Yaani haiwezekani mtumishi wa...
Habari za jioni,
Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma.
Ahsanteni.
Naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu?
2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita.
3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada.
Hapa mimi...
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
Utangulizi
Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki).
Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha
(a) Magari
(b) Pikipiki za aina zote
Ushuru unaosamehewa...
Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini.
Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma.
Mbaya zaidi ni kuwa huyo adui anaishi kwa jasho la wenye nchi kwa manufaa yake mwenyewe huku wenye nchi wakiumia...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.