wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    Wafalme wawili duniani. Unadhani nani alishinda hapo?

  2. Nyendo

    Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  3. BARD AI

    Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
  4. To yeye

    Embu tuchat wawili wawili humu

    Kama yupo unaeshibana nae humu iwe mpenz,au rafiki embu mtag muanze kuchat chochote hata mlichofanya Jana usiku ila nas tujifunze,ikiwa mliduu,au biashara au chimbo. Nianze na hawa Criston Cole na harakati za siri endeleeni kuchat hapa. Kuhusu Mimi ninao wengi ivo nitatag wengi mno ila naomba...
  5. BARD AI

    Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  6. BARD AI

    Iringa: Watoto wawili wafariki nyumba ikiungua moto

    Watoto Rehema Masanga wa miaka 7 na Amos Masanga mwenye miaka 5 wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na mama yao. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi, Rabi Mgata amesema chanzo cha moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza nyumba wakati...
  7. JanguKamaJangu

    Morogoro: Wananchi wachoma ofisi ya kijiji Kilombero, wawili wauawa

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi...
  8. MSAGA SUMU

    Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  9. JanguKamaJangu

    Raia wawili wa Uganda wawekwa karantini Pemba

    Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola. Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
  10. M

    Wawili wafikishwa Mahakamani kwa ubakaji mwanafunzi

    Wanaume wawili wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kubaka na kulawiti mwanafunzi wa darasa la nne na wa kidato cha pili. Washtakiwa hao Mathias Mkokoteni (43), mkazi wa Kata ya Mpwapwa Mjini, Mtaa wa Igovu, anadaiwa kubaka na kulawiti mtoto wa...
  11. Balqior

    Nilikuwa na nia ya kuwatongoza, nimewapima kwa vitu vidogo sana wamefeli

    Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero. Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
  13. J

    Kati ya wabunge wa EALA waliochaguliwa ni wawili tu ndio wenye uwezo wa kupambana ktk mijadala. Tanzania inakwenda kushindwa na kuadhirika

    wagombea kutoka Tanzania. wagombea toka Uganda.
  14. Sildenafil Citrate

    Polisi wakamata wanawake wawili wakiwa na misokoto 1,220 ya bangi

    Wanawake wawili wakazi wa Mkoa wa Arusha wanashikiliwa na polisi wa Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kukutwa na misokoto 1,220 ya dawa za kilevya aina ya bangi. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, George Katabazi akizungumza na Mwananchi Digital leo jumanne Septemba 27 amesema wanawake hao...
  15. Sildenafil Citrate

    Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  16. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  17. T

    Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  18. Sildenafil Citrate

    Wachimbaji madini wawili wafariki kwa kuangukiwa na kifusi Geita

    Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu. Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

    Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo. Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
  20. GENTAMYCINE

    Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

    Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita. Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
Back
Top Bottom