Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.
Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Fortunatus Musilimu, alikiri jana kukamatwa kwa watu hao kwa nyakati tofauti kwa madai ya kujihushisha na vitendo hivyo kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Morogoro, Dodoma, Mwanza na Dar es Salaam.
Baada ya kuwafanyia...
Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?!
Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
Vigumu sana kuelewa haya maugomvi, Urusi amekua akisifiwa na wavaa kobaz tangu alipovamia Ukraine, ila leo naona wanajitoa mhanga kwa kujilipua kwenye ubalozi wake.
ISIL claims responsibility
The ISIL (ISIS) group claimed responsibility for the attack late on Monday. An ISIL fighter “blew up...
Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Filemon Makungu (wa pili kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na kuuawa kwa watu wawili na wengine sita kujeruhiwa na wafugaji katika kijiji cha Mvinza wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.
Watu wawili wamekufa na wengine 6 kujeruhiwa baada ya watu...
Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa.
Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao.
Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa.
WCB for life baby!
===
Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11.
Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya.
Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo.
Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki.
Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana.
Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani maarufu kama “Mama Shombee “ anayemiliki kampuni ya Newlook Bridal na Lilian Mosha mmiliki wa duka la...
Wakuu habari
Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa.
Mmoja awe mwanaume na mwingine binti. Wasizidi umri wa miaka 30.
Ukiwa tayari nicheki PM.
Mimi...
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.
Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.
Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia
Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa
Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
Askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kikosi cha 825 KJ kambi ya Mtabila iliyopo wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepakia kuacha njia na kupinduka.
Kaimua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Menrad Sindano...
Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi.
Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.