Picha: Eneo ambalo ajali imetokea
Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe.
Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
Mwanasiasa A
Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu.
Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa.
1 Sara...
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima?
Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao.
RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili.
Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia
1...
Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu.
Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo.
Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
Habari za siku wadau
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji.
Mimi siku zote nimekuwa navutiwa zaidi na mwanamke ambaye hana tamaa ya vitu...
Wajuzi habari za mchana wa leo.
Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali.
Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ.
Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda.
mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB
Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza.
Kwa...
Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
Wana bodi, heshima kwenu.
Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai.
Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja ni mzuri sana, mrembo, presentable na udambwiudabwi wa kila aina kwenye masula ya mapenzi na mambo ya...
Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali.
Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.
Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.
Mmoja...
Ni Jumatatu tulivu tenaaa
Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.