wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  2. Mohamed Said

    Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

    KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE ''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an. Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
  3. Tony254

    Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

    Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
  4. Chimulenge

    Kazi: Wanahitajika wadada wawili wa delivery

    Habari JF Narudi tena kwenu baada ya kupata wadada wa awamu ya kwanza kazi ya kuserve, Tunaendelea kupeana liziki nahitaji wadada wawili tena wa kutafuta oda za chakula hapa Dodoma twn na kusambaza. Ni kazi ambayo ina target yake angalau kwa siku upate angalau oda 30. Mshahara ni 220000 kwa...
  5. B

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  6. Analogia Malenga

    Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

    Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol. Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye...
  7. Chimulenge

    Nahitaji wadada wawili wa kuhudumia (ku-serve) chakula Bar

    Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele Mshahara maelewano kwa aliye tayari tuwasiliane 0622723082 Kazi inaanza kesho
  8. J

    Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  9. Analogia Malenga

    China yakomesha sera ya watu kuwa na watoto wawili pekee

    China sasa imewaruhusu watu kuwa na hadi watoto watatu baada ya kupungua kwa kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini humo.Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa ya kisera kwa serikali ya nchi hiyo. Shirika la habari linalomilikiwa na serikali Xinhua, limesema uamuzi huo ulitangazwa siku ya Jumatatu...
  10. sky soldier

    WaIsrael wawili wachomwa kisu na Mpalestina huko Jerusalem

    Katika mji wa Jerusalem, Kumetokea mauaji ya wa Israel wawili walioshambuliwa kwa kisu na Mpalestina (Kauwawa baada ya kufanya shambulizi) Katika kipindi hiki aina hii ya mashambulizi huenda yakaongezeka, wapalestina huyatumia kama njia ya kulipa kisasi baada ya Hamas kuzidiwa wiki iliopita na...
  11. GENTAMYCINE

    Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  12. GENTAMYCINE

    Kwanini Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe pamoja na 'Kukuru Kakara' zao zote Marais wanasita Kuwapandisha vyeo, ila kwa wengine wanapanda fasta?

    Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane...
  13. Papaa Mobimba

    Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
  14. Analogia Malenga

    Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  15. N'yadikwa

    Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  16. Miss Zomboko

    Mkuranga: Serikali yakifunga Kiwanda cha Nondo kutokana na vifo vya Wafanyakazi wawili

    Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi. Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
  17. B

    Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

    Saturday May 01 2021 In summary Waliofariki ni Jafari Amiri (12) mwanafunzi wa darasa la nne na Hamidu Amiri (9) mwanafunzi wa darasa tatu. Handeni. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kata ya Malezi wilayani Handeni Mkoa wa Tanga wamefariki baada ya kupigwa na radi. Diwani wa Malezi...
  18. J

    Tangu CCM iasisiwe mwaka 1977 sijawahi kuona nafasi ya Mwenyekiti taifa ikigombewa na watu wawili au zaidi!

    Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti. Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote. Tusilete...
  19. J

    Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

    Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake. Wakati ule hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini uzushi ule ulisambaa nchi...
  20. M

    Hebu malizeni huu Ubishani wetu wa 'Kijiwe Nongwa' chetu je, kati ya hawa Wawili nani anamtuma na kumvimbia Mwenzake Kicheo?

    Je, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ya nchini Tanzania Dkt. Hassan Abbas na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa nani ni 'Boss' wa Mwenzake na nani pia anatakiwa kuwa Mnyonge kwa Mwenzake? Sasa Generalist nasubiri Mirejesho yenu.
Back
Top Bottom