The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
Wakuu,
"CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende maana angalau chama akikaa kichwani ukinyoa nywele hadithi imekwisha, mende wanaingia kwenye vyoo...
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.
Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...
Hakika lililofanywa na makocha wetu wa Taifa Stars Moroko, Mgunda na Julio ni kutupotezea muda na kutoheshimu hisia zetu.
Kwahiyo Mgunda na Julio ndo wamemshauri Moroko kuwa Novatus na Mao wanaweza kucheza namba 6 na 8 na tukaweza kuwa na kiungo kinachonyambuka, kwamba Kibabage anaweza kucheza...
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi...
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha zamani kidogo.
CHADEMA wanawanachama wengi zaidi na ruzuku kwa miaka kibao ikiwemo kupokea pesa kutoka...
Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi.
Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili.
Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024.
Kwa heshima...
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman
Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa.
Tunajuwa kuwa...
Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
24 July 2024
ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu
https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024.
Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO)
TAARIFA KWA UMMA
VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA
Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
Salaam wakuu.
KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote.
Baada ya Tathmini za Muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.