The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Pichani ni Nduna Songea Mbano Luwafu. Alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906.
Kifo chake kilitanguliwa na mauaji ya Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walionyongwa Februari 27, mwaka 1906.
Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake hao...
WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA
Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini:
"Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu walihusika sana kupigania uhuru.
Baba akiwa kwenye Rungwe Cooperative na wakati ndio nguvu ya nchi pamoja...
ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo.
vyama vingine pia wamo na ukaribu nae kwa kiasi fulani na muungwana huyo kwa mfano chadema na...
Salaam, Shalom!!
Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote.
Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama...
JUMU LA PICHA ZA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WENGI WAO MCHANGO WAO HAUFAHAMIKI
Picha hizo ni za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika wengine kwa mali walizojaaliwa na wengine kwa kukosa mali walipigania uhuru kwa hali zao.
Wengi wao hawatambuliki wala hawafahamiki.
Huu ni msiba usio na...
Salaam, Shalom!!
Nauliza tu,
Hawa waliotuletea DEMOKRASIA mataifa ambayo Bado tunajitafuta yalilenga nini?
Mbona wao walipokuwa wanajenga Uchumi wao, miaka mingi iliyopita mbona waliotumia mijeredi?
Yaani mtoto asiyetaka shule, mzazi ampe mtoto huyo DEMOKRASIA na uhuru Ili iweje?
DEMOKRASIA...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili Timamu na wanaojitambua, pamoja na vyama mbalimbali vya kisiasa bila kujalisha itikadi zao za...
UTANGULIZI
Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati.
MATARAJIO YANGU
- Wananchi na viongozi wajitolee kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wathamini maslahi ya taifa kuliko maslahi binafsi. Uzalendo...
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini.
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania).
Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe.
Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa kwenda kujionea athari za mafuriko hayo ili kutoa msukumo...
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar.
Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike.
Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.