Hao wanaume wa kuchagua mbona hawaonekani? Waliopo mtaani ni hawa hawa akina Juma Hali Ngumu bin Full Ma-stress.
Halafu kibaya zaidi wanaopendwa ni walioishia la saba na form 4. Je, wazazi wote wakamatwe kwa uongo huu ama tumwachie Mungu?
Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya.
Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu.
Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
Samahani jamani sikuanza na salamu sababu kichwa kina mambo mengi, navyosema kichwa namaanisha hiki kilichobeba ubongo, so sitaki ufikirie tofauti.
Nirudi kwenye hoja yangu, leo nimewaza tu kama mzazi, huku nikitambua wajibu wa mzazi kwa watoto wetu, kwani wazazi tunachangia kwa kiasi kikubwa...
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume
Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume
Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba
Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama...
tunaanza na mistari ya biblia
Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na
Bwana”
NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA.
Elimu ya Mzungu...
Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa.
Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
Wasalaam Wataalam wa Darisalaam,
Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini?
Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota.
ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha...
Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
Habari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar...
TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni.
Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la Kwanza na wanaoanza Kidato cha Kwanza- kwa mwaka wa masomo 2024 kufanya hima...
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto kutokana na kubadilika.
Mimi hiki sikatai. Watoto wadogo wako katika hatua ya makuzi si jambo la...
Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa.
Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
Wanajamvi habari zenu?
Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika.
Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo.
Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.