wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

    Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.? Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia...
  2. G

    Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  3. Morning_star

    Wamama/wadada kama umebahatika kukuzwa na wazazi wako wawili, ujue hela iliyokukuza ilitoka kwa baba!

    Kuna mtu aliuliza swali hili hapa kwenye mtandao wa "X". Nasikitika majibu ya jinsia ya kike ni kana kwamba hawajitambui kabisa! Sasa nawaambia acha kuendelea kuvuna laana! Wababa hatutaki kujionyesha! Kipato kinachoendesha familia hata kama mama ajimwambafai kuwa ni yeye, nguvu ya hicho kipato...
  4. GENTAMYCINE

    Vijana wa Kiume tuacheni Ubaguzi pale Wazazi wetu wakiwa Wazee kwa kuamua Kumjali zaidi Mama na Baba zetu huwa tunawajali kwa 'Kubeti' tu

    Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
  5. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  6. Mr Mlokozi

    Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  7. ndege JOHN

    Wanafunzi mpaka wa primary wanavuta sigara za kielektroniki serikali na wazazi mko wapi?

    Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa. Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila...
  8. Ushimen

    Enyi wazazi wapeni na waonesheni upendo watoto wenu

    Good morning to all parents, Straight to the point, wazazi wenzangu nawasihi sana tuwapende sana watoto wetu katika hali yeyote ile. Tukiwa na fedha ama fukara, kitu pekee ambacho mtoto anahitaji zaidi kutoka kwa wazazi/mzazi ni upendo. Hayo mengine yote Mungu hubariki na huyafanya kwa wakati...
  9. Razorblade

    SoC04 Wazazi na Malezi

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu ya kitanzania na sababu kubwa ya changamoto hii ni wazazi kutoa malezi duni kwa watoto. Malalamiko yamekuwa mengi sana kuhusu mmomonyoko huu wa maadili kwa miaka ya hivi karibuni lakini inasahaulika kwamba msingi mkuu...
  10. Hakuna anayejali

    Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara

    Inapofika msimu wa kuandikisha watoto serikali inazisitiza wakaandikishwe,lakini wakishaanza shule ufuatiliaji wake unapunguwa hali inayopelekea watoto kuzurula mtaani.Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara ni aibu tunatengeneza taifa gani?Tazama...
  11. S

    Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  12. JanguKamaJangu

    Katavi: Wanafunzi wazibua choo kwa mikono, Wazazi wamjia juu Mwalimu

    Wazazi wenye Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kaliwaoa iliyoko Kata ya Ilembo, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamechukizwa na kitendo cha mwalimu ajulikanaye kwa jina la Ndikulio Matenga shuleni hapo kutoa adhabu kwa Wanafunzi wakiume wa Kidato cha Kwanza kuzibua choo kwa kutumia...
  13. Dkt. Gwajima D

    Wazazi na Walezi huu ni ujumbe wenu wa thamani kuelekea siku ya familia duniani

    Salaam nyingi za upendo kwenu. Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo bora zaidi kwa mtoto wako kwenye nyakati za Dunia ya leo, ni kuwa karibu naye, tena karibu zaidi...
  14. EDIGAR JO

    Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

    Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha . Mfano ★Anaenda hana nguo za kumtosha ★Hana simu janja wala PC ★Anaenda hana fedha ya hakiba . Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
  15. Mkalukungone mwamba

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  17. Smith Rowe

    Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  18. Comrade Ally Maftah

    Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

    JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
  19. Ndagullachrles

    Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  20. Natafuta Ajira

    Wazazi wajibikeni…

    Wazazi timizeni wajibu wenu. Mzigo wa kuwatunza mabinti zenu wamebebeshwa vijana ambao bado wanajitafuta Mahusiano ya kimapenzi yamekua liability kwa kijana wa kiume. Vijana wa kiume wanashindwa kufanya maendeleo, ambao hawana vipato vya muendelezo wanaamua kununua makahaba ili kukwepa costs za...
Back
Top Bottom