Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.
Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au...
Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida.
Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea nikaamua nimchimbe alikujaje kua msabato kwan nilijua amezaliwa kwene familia ya kisabato haswaa.
Cha...
Habari!
Nilipomaliza chuo nilipatwa na mkasa. Ile nimemaliza tu mitihani nikamtaarifu mama, tukaongea tu vizuri kwa muda mfupi chumbani kwake, sasa wakati natoka nje akaniuliza swali 'kwahiyo ushapata mtu wa kukuoa?' moyo ulishtuka halafu chap nikaendelea na safari hapo nikajifanya sijamsikia...
Wakati Jude Bellingham aliposaini Borussia Dortmund, wazazi wake waliamua "kugawanyika" kusaidia wana wao wawili.
Mark baba alibaki na Jobe mchezaji wa sasa wa Sunderland na Denisse mama aliondoka na Jude.
denisse sio tu anashughulikia sura ya Jude, lakini anaishi naye, anaendelea kutazama...
Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani.
Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na kurusha rocket yake ndogo ya kwanza huku followers wake wakitazama tukio hilo kupitia mtandao wa...
Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya...
Acheni kuwachagulia Watoto wenu Fani ambazo nyie mmezifanya huku hadi kuwatishia kuwa wasipofuata basi mtawavulia Nguo zenu kwa Kuwalaani. Hivi inaingia Akilini kabisa Wewe Mzazi ni Injinia na kila Siku unaona Mwanao katika Masomo ya Sayansi anatepeta / hayawezi ila kule katika mengineyo ya...
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa.
Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka
Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala yake wawafikishe katika vituo na shule maalum ambazo zitawaendeleza kielimu.
Kauli hiyo ameitoa...
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
Wakuu,
Tangu nimezaliwa sijawahi kuona sherehe za kisiasa zimepangiliwa kisayansi na zikawa na watu wengi kama nilizoona mwaka huu katavi kwenye maadhimisho ya wiki ya wazazi 2024.
Viongozi waliokuwepo ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi, rais Mwinyi, mzee...
Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika...
•itel kiswaswadu
•Tecno kiswaswadu
•bontel kiswaswadu
•O king kiswaswadu
Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu.
Mithali 13:22...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.