Jamani please wazazi wakikulilia shida wasaidie hasa mama, siku nne zilizopita bimkubwa alifululiza kunipinga mizinga, juzi nikamkaushia, nikamwambia sina, ukweli nilikuwa nayo, nikaondoka zangu kwenda kwangu, kufika home nikasikia kunguru wanalia sana nyuma ya nyumba, kwenda kucheki kulikuwa na...