1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi.
2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
Walimu wetu wanatumia mda mwingi Sana kutuandalia kesho ya watoto wetu, vipato vyao havitoshi kumudu mahitaji yao.
Viongozi wa dini wanalishwa na waumini wao lengo kuu Ili wasiwaze watakula nini. Maana huwezi mtumikia Mungu na mali yaani uhudumie kiroho huku ukafanye vibarua Ili familia iishi...
Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. .
Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.
Tukio limetokea katika...
MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM
Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi.
Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini.
Katika vituo hivyo...
Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
Wazazi na walezi,
Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo!
Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa!
Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni.
Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!
Na maswali yenu ya kipuuzi...
Salaam Wakuu.
Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
Wazazi wa watoto waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameandamana kudai matokeo ya watoto wao waliomaliza kidato cha nne 2022 kufuatia kuwepo kwa sintofahamu.
Wazazi hao wamesema wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana katika...
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.
Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa...
HIKI KISA KIMENISIKITISHA MNO, WAZAZI; KIZAZI HIKI KIMEHARIBIKA, SAIDIENI BINTI ZENU.
Anaandika, Robert Heriel
Mama mmoja amenipigia simu juzi, akanisimulia kisa hiki;
" Nina Binti yangu, nimemsomesha mpaka CHUO akamaliza shahada yake ya Kwanza Mwaka 2016. Hakurudi nyumbani akatomea Huko...
Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma,
1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje.
Mfano, Mwaka jana 2022...
Morng guys how are you, I hope your fine?
Leo morning nimekutana na tukio moja hilo lilinishangaza sana
Nimetoka zangu home naenda mahangaikoni nikiwa njiani nawakuta watoto wawili mmoja mdogo mmoja mkubwa, mkubwa alikuwa namvuta huyu mdogo uku ana mpiga makofi huku anasema twende shule huko...
Kwema WanaJF,
Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.