Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana.
Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha.
Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Wazazi somesheni watoto wenu elimu ya Diploma. Nikipita kwenye AJIRA PORTAL ya serikali wanatangaza sana nafasi za Diploma.
Hii naiona kama nzuri kwa serikali kwa sbb ndio wanaopiga kazi sana kuliko wavaa suti na tai wa diploma. Serikali ikaze hapo hapo safi sana. Kuajiri wengi wa degree ambao...
Natumai nyie ni wazima wa afya,
Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini.
Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto...
Habari wana jukwaa,
Hii video inaeleza jinsi houseboy alivyomfanyia mtoto wa bosi wake, kwa kweli inatia kinyaa. Ningekuwa mimi ndiyo mzazi wa huyo mtoto haki ningeua mtu.
"Mtoto mdogo alikuwa akimpenda sana houseboy na familia ilikuwa haielewi ni kwanini, baada ya muda mtoto akaanza kukataa...
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni...
Kwa ufupi sana
Wazazi wa sasa tujitathimini!
Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau!
Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando.
Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha!
Tusiwalaumu wala...
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?
Taifa International Online School kwa...
Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
Habari!
Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi.
Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama?
Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia.
Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani.
Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa.
Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto...
Zaidi ya asilimia 70 ya wazazi Wilaya ya Mtwara huenda wakakosa haki za watoto wao kutokana na tabia ya kubadilisha majina ya watoto kwenye vyeti vya kuzaliwa, sababu ikitajwa kuwa ni talaka.
Akizungumza Oktoba 31 katika kampeni ya kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika Wilaya ya Mtwara...
Salaam Wakuu,
Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani.
Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali.
Natambua kuwa ni muhimu sana...
Habari zenu
Watu wengi wanalalamika kuhusu watoto wao kuwa wanafanya Sana Uzinzi, uchafu, ushoga, wizi, tabia zote chafu chafu wanafanya wao tu.
Jambo la kuwa nalo makini hata Kama wewe husali au huamini uwepo wa Mungu hiyo Ni wewe tu.
Watoto ukitaka wawe mfano Bora katika jamii na wapate...
Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia.
Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
Kuna haja wazazi na walezi kupewa elimu ya malezi ili kupunguza vifo vya watoto wao wanaowaua kwa kuwapa adhabu kubwa au hata ulemavu, kuwaachia makovu na majeraha moyoni kwa kuwapiga kupindukia wakiamini wanawaonya.
Matukio mengi ya wazazi na walezi kuwapiga watoto hadi kuwajeruhi zama hizi...
Umri wa wale ambao wamezaliwa kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma, kufika hadi miaka ya 80 na kuendelea huko nyuma, matukio ya mzazi kumpiga mtoto kama vile anapiga mwizi anaekamatwa mtaani ilikuwa ni kawaida.
Yaani ilikuwa mzazi akikukamata kukupa kichapo ilikuwa ni kichapo hevi kinomanoma, hiyo...
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.