wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vladivostok

    New Jersey: Mwalimu aliyeumbika awa gumzo wazazi wawaka wataka afukuzwe

    Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
  2. Frumence M Kyauke

    Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

    Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa? Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi? Mimi binafsi nimekutana na binti mmoja kazini akiwa na majonzi na msongo wa mawazo na anatamani kujiua sababu...
  3. prince basho jr

    Wazazi wajikite kujenga misingi bora ya malezi ya watoto wao

    WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO. Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa. Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
  4. E

    SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  5. Roving Journalist

    Wazazi wakamatwa kwa kuwajeruhi kwa moto watoto wao wakiwatuhumu kuiba Mahindi

    Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja. Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
  6. M

    SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  7. mama D

    Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

    Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa. Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
  8. Poppy Hatonn

    Kwanini mtoto akizaliwa anafanana na wazazi wake?

    Wazo lilinijia. "Bwana, Mwalimu, nina swali la dharura." "Ah, Lobsang, naona umemchagua mwanamke mrembo zaidi katika kundi zima. Kweli, wacha nifurahie uchaguzi wako. Huyu ni mwanamke mzuri sana, na tulitaka zilizo bora zaidi kwa sababu baadhi ya specimen za zamani katika baadhi ya...
  9. S

    Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  10. A

    SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  11. Melki Wamatukio

    Nimepata mwanamke mwenye hela. Tatizo wazazi wake wana roho mbaya

    Ni muda sasa niko naye. Ananiamini fika, na istoshe kashanijulisha michongo ya hapa na pale ambayo humuingizia kipato. Siku nyingine hunialika ofisini kwake, natulia pale asubuhi mpaka jioni. Gharama za chakula na vitu vidogo vidogo ni juu yake japokuwa huwa sipendi kutawaliwa na mwanamke...
  12. Bushmamy

    Kipindi hiki cha likizo ya sensa Wazazi wawalinde watoto wao, mitaa imefurika

    kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti. Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
  13. Superbug

    Wazazi wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka

    Wazazi wenye watoto hususani vijana wa kiume bodada wafundisheni watoto wenu kutii mamlaka za serikali na vyombo vyake. Enyi bodaboda msijifanye mna umoja kiasi cha kuvunja sheria za nchi shauri yenu.
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
  15. sky soldier

    Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  16. JanguKamaJangu

    Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  17. NostradamusEstrademe

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro. Mahusiano ya wazazi yanavyoweza kuathiri watoto

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
  18. Roving Journalist

    Morogoro: DC Ngollo Malenya anawasaka Wazazi Waliotelekeza watoto 3 Ulanga

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza Watoto wao watatu Emerinda Thomas Ulanda (17) Christina Ulanda (13) na Slyvia Ulanda (9) wanaoishi...
  19. Lady Whistledown

    Chad yapiga marufuku mabinti wadogo kutoka nje ya nchi bila kibali cha wazazi

    Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani Aidha katazo hilo linapiga marufuku mashirika ya ndege na mashirika ya uchukuzi kuchukua wasichana wadogo...
  20. L

    “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
Back
Top Bottom