Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao.
Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)?
Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili...
Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule.
“Ila...
Kuna li mtu ni libakaji ,ni linajisi...limeamua kuwa Sheikh. Limeamua kuwa Padre, Limeamua kuwa Mchungaji na Lingine limeamua kuwa Baba.
Limeamua haya yote huku lina akili ile ile ya kubaka, kulawiti na kunajisi.
Usihukumu Dini. Angalia Dini inasemaje suala la mtu mzima kutembea na mtoto...
Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..?
Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio...
Wazazi wanatumia rasilimali vitu, pesa, watu na pesa kumfikisha mtoto wao hadi kujitegemea. Rasilimali ambazo kama angeziwekeza zingemsaidia hata uzeeni kwake.
Wazazi wanaporwa haki na mali zao na vijitu na majitu kwa kisingizio Cha ndoa kwakuwa hakuna sheria inayosimamia haki zao. Ndoa...
Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'.
Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
Wazazi nchini wameaswa wasiwadekeze watoto, ikiwa ni pamoja na kuzuia wasifanye kazi shuleni kwani ni hatari kwao siku za usoni.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Rockeni Hill na Shule ya Sekondari Anderlek Ridges, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Alexander Kazimili na...
Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae.
Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu.
Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa.
Jirani a...
PESA INAYOTAFUTWA KWA JASHO NA WAZAZI INAVYOGEUKA KILIO
Imeandaliwa na Tulibumi Richard Kasebele
”Sitaki wanangu wateseke kama mimi nilivyoteseka” ni kawaida wazazi kusema maneno haya kama hamasa kwao kufanya kazi jambo ambalo ni la msingi katika maisha, Pongezi nyingi ziwafikie wazazi...
Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani.
Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto...
Sisemi kutoka kwenda mitaa ya mbali mbali kuzuruara mbali kama enzi zetu zamani, La hasha!! kwa sasa dunia imebadilika hivyo uhuru inabidi upungue lakini isiwe kuwanyima kabisa uhuru.
Ni vema uwe unamruhusu majirani marafiki zake wawe wanakuja kucheza nae kwako nae awe anaenda kwa marafiki zake...
Mimi ni nibinti wa miaka 25 niliye aliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Hai, ni wa pili katika familia ya bwana Festo familia ambayo ilikuwa na hali duni kiasi kwamba tulikuwa tukipewa mavazi chakula na watu majirani.
Kutokana na na mfumo dume wanaotumia wanaume wa kichagga kiukweli baba...
Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu walishindwa kulivalia njuga swala hili.Mpaka leo hii naishi na tatizo hili .Napenda kuchukua nafasi hii...
HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA.
Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja.
Mtoto atakuwa na haki ya kupata elimu yenye ubora uleule aliokuwa anaupata kabla wazazi wake hawajatengana au...
Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao mpaka wakati wa kuandika makala haya wanashindwa kupata usingizi kwa kutokujua hatma ya wapendwa wao...
MBINGU KUMI NA NNE
Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa kadhaa tu kumfanya binti huyu mrembo kuuitikia upweke uliobisha hodi ndani ya nafsi yake na kumfanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.