Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka
Je katika hili kuna ukweli wowote ule
Habari ya siku nyingi ndugu zangu, ngoja niende kwenye hoja moja kwa moja
Masuala ya ugomvi na migogoro ya ndoa kwa wazazi wetu ni mambo ambayo huwa tunakumbana nayo mara kwa mara na kwa asilimia kubwa sana japo sio kila familia au kila mtoto huweza kuyapitia haya mambo.
Ila niwape angalizo...
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho...
Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu..
jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli.
Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo
Mtoto ukimsimamia...
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
Bila aibu tena kwa kujiamini.
Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika.
Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo.
Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
Naamini kuna uzima kwa wana jamii.
Je ni sahihi wazazi wa binti/mwanamke kudai kuwa mwanaume aliempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa?
Au ni mbinu ya kulazimisha binti aolewe? Wao wanadai wanataka kumtambua/kumfahamu.
Habari hii imemkuta rafiki yangu wa karibu.
Siku ya Kimataifa ya Wazazi inayoadhimishwa kila Juni 1 hutambua jukumu ambalo Familia inabeba katika Malezi na Ulinzi wa Watoto.
Kama nguzo za Familia na Msingi wa Jumuiya na Jamii zetu, Wazazi wana nafasi ya kipekee katika Ustawi wa Mtoto. Katika Siku hii, tunawashukuru Wazazi kwa kujitoa kwa...
Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo.
Kwa ufupi ni kuwa mtoto huyo naye anaitwa Fiston Mayele, siyo kwamba ni jina la utani, HAPANA, ni jina hali...
Natumai kazi zinaendelea!
Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki
Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
Dunia inaelekea kubaya tena kubaya sana na ukijumlisha utandawazi unaopelekea watoto wa kiume kuwa mashoga asilimia kubwa.
Yani sasa hivi ukiwa na mtoto wa kiume unakuwa naye makini kuliko mtoto wa kike maana kila kona sio salama.
Tufanyeje na kila sehemu wanaanza kuweka bendera zao na...
Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection.
Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo.
===
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5.
“Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema...
Habari wadau.
Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo.
Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa.
Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level.
Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango.
Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
nawasihi sana ndugu zangu, usisomeshe mwanamke kwa lengo la kuja kumuoa baada ya Masomo.
Nakwambia kadri unavyomsomesha ndivyo anavyokuona useless na sio level zake.
Acheni wasomeshwe na wazazi wao, wewe nenda katimize jukumu la kuoa na kujenga familia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.