Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa...