Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao.
Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ?
NB.
Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari.
Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima!
Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!!
Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya..
My Take
Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu..
=======
Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
Mithali 31:10-31
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za...
"Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa
"Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
Soma pia: Uzi mkuu...
According to report Elon Musk and his company are on the final stages of making a Robot Wife. The supply of Robot Wives is expected to roll out in September 2023. They will reach Africa by November 2023.
Robot Wife will use batteries that last in accordance with menstrual circle. Batteries will...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
Kila mtu siku moja atakuwa mzee. Nguvu tulizo nazo hazitadumu daima; kutembea kwa nguvu, kufikiri kwa kasi, macho yetu kuona mbali, vyote; uwezo wake utayoyoma na kupungua kabisa. Huo ndio utakuwa uzee. Tutahitaji msaada wa mkongojo kutembea, msaada wa watu kutusaidia katika yale tuliyokuwa...
Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote.
Kipo complete na koki yake
Nimekumbka miaka fulani mtaani kwetu kulizuka tukio la asiyejulikana mmoja kuwa na tabia ya kuvamia mama na dada zetu mtaani hsa majira ya usiku akiwavizia wakat wa kuoga na mavyumbn mwao, baada ya malalamiko kuwa mengi na sisi vjana wa wakat huo kulaumiwa kuwa tupotupo tu wakati mama na dada...
Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela?
GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake.
Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.
Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze...
Jambo letu tena!
Jitahidi kujitambua kwa yale unayoyaweza na yale yanayokupatia ugumu lakini kamwe usiwaeleze watu mapungufu yako kwasababu watayatumia dhidi yako. Mara nyingi watu huwaangusha wengine kwa kutumia mapungufu yao. Jitambue na tumia utambuzi huo kujishinda ili mapungufuyako...
Hellow african
Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe...
Wasalaaaaam....
Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!!
Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.