Ndiyo wakuu, hii ni nyingine tena kutoka kwa Mwizukulu mgikuru ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa vijana wengi tunapitia joto ya jiwe, moja ya mambo yanayotufanya dunia tuione chungu ni hili la wazee wetu, unakuta kijana anahangaika kujijenga lakini bado pia ajenge na kule alipotoka.
Kama...
Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu.
Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile...
Mimi ni kijana Ambae Kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya maisha yangu Hadi kufikia hapa nilipo fikia nimelelewa na mababu zangu, na toka enzi hizo Hadi hivi sasa nathamini sana mawazo ya wazee na Huwa nayaenzi Kwa vitendo {alale mahali pema peponi BABU yangu}.
Leo nataka niwape Siri ya ile LAANA...
Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema.
Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...
Wazee wanasema, "Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya." Mti unaota bila mpango unaweza ukawa dhaifu kwasababu ya matawi mengi! Ni vizuri kukubali kukosolewa! Wala usitengeneze uadui na wale wanaokukosoa. Watumie kujipruni ukue vizuri washangae.
Asiyekosolewa ni Mungu tu...
Wazee wanasema "Meno anayotumia mbwa kucheza na wewe ndio hayo hayo yatakayo tumika kukuuma utakapo mkanyaga mkia".
Waweza kuumizwa na mtu ambaye unampenda mnoo mpaka ukashangaa na kujiuliza hivi ni huyu huyu kweli amenitendea hivi?
Kile unachokipenda sana chaweza kukuumiza sana vile vile...
Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano.
Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu...
Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo:
Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa.
Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
Tafakuri Jadidi:
Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani?
- Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi?
Jibu:
Ndugu zangu,
Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na Wazee wa Dar es Salaam.
Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu ya kitabu ' The Making Of A Philosopher...
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.
"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
Baadhi ya vijana wa mtaa Kikula na Kipagamo halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamezua taharuki makaburini na kusababisha masikitiko kwa wazee wa mitaa hiyo baada ya kitendo cha kugoma kuushusha mwili wa marehemu Peter Kibiki (30) kaburini na kuuzika wakihoji ni kwanini vijana...
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu..
1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au
2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili.
Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
==
Wazee wamesema mjadala wa bandari utatugawa kutokana na namna unavyoendeshwa. Mzee mmoja wa Dar amesema hakuna anayepinga mpango huo au anayeshuku uwezo wa kifedha wa wawekezaji hao bali hawakubaliani na baadhi ya vipengele vya mkataba...
Inadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa.
Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni miongoni mwa watu wanaotishwa maisha kuhusu sakata la bandari. Wazee wanasema wao watadili na mwenye mbwa...
Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini.
Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu.
“Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika...
======
Wazee waeleza sababu zinazosababisha kuuwawa
WAZEE wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameeleza sababu inayosababisha wazee mengi kupoteza maisha kabla ya muda wao ni kulazimishwa kugawa urithi wa mali walizonazo kwa watoto wao na wanapokataa wanatengenezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.