Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.
Nakumbuka siku za...
Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
Hope wote ni wazima wa afya.
Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto.
Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya...
𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa.
Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini.
Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto.
Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi
Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao.
Mwakalinga ametoa rai...
Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa?
Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
Eebwa heri za sikukuu wazee.
Hawa watu huwa wanakera sanaa. Unakuta jitu ni linywaji lenzio ila likikukuta tu umetoa teni unachukua safari zako tatu linataka chenji iliyobaki umuagizie na yeye. Unaweza ukamkuta yeye bar na kashalewa ila akikuona tu unaagiza konyagi ile ya kati uipige tayari...
Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee.
Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
Nahitaji sababu ya Kmantiki kabisa iliyoshiba Elimu Kubwa ya Kisaikolojia na Uhalisia wa Moyo, Roho na Akili ( IQ ) ya Mtoto.
Na mkinipa sababu iliyozoeleka na Wengi kuwa Watoto hawaongopi na ni wasema Kweli daima nitaikataa kwani kuna Mtoto leo Kanidanganya kuwa Baba yake ninayemdai hayupo na...
Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa.
Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)
Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
"Tunampongeza Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuwakilisha Jimbo letu la Ngara. Tunamuahidi ushindi wa kishindo ifikapo mwaka 2025" - Tamko la Wazee Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Ngara.
"Tunatamka kwa pamoja kwamba tuna uwezo wa kumchagua mwaka 2025. Lakini tunasema na...
Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,
Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini
Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini
Kikawaida hua wanapanda...
Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates.
Muachane na vijiwe vya betting.
Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu
Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha
MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.