Yanga wapewe points 3 za dezo kwa mechi iliyoahirishwa?Simba anyang'anywe points kwa sababu hakwenda kwenye mechi iliyoahirishwa na barua ya kuahirishwa anayo mkononi?
Nakuambia mkuu humu Kuna mamburula sana haswa mashabiki wa yanga. Ni wapumbavu sijapata kuona..
Wewe kwanza umeinyima timu pinzani isifanye mazoezi siku Moja kabla ya mchezo, hii unatakiwa upigwe adhabu
Bado ukakiuka maagizo ya mabosi wako kua mechi hakuna na ukakaidi.ukapeleka timu uwanjani huku kukiwa hakuna marefa Wala officials yoyote halafu wanataka point tatu, Wana ukichaa? Hapa Bado Kuna adhabu yake ya kukaidi mamlaka
Simba mkononi Wana shahidi za kutosha kuanzia kuzuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi, Hadi mechi kuahirishwa barua wanazo, mtu mpumbavu anasema Simba kagomea mechi, unagomeaje mechi iliyoahirishwa na mabosi..?
Ningeona Kuna watu wa yanga wenye akili zaidi ya wale wawili waliosemwa kua ndio pekee wenye akili Yanga nzima , kama wangeniambia Simba waadhibiwe kwa kutotoa taarifa ya kuja kufanya mazoezi na hio adhabu waiweke hapa kanuni inasemaje timu isipotoa taarifa kua inaenda kufanya mazoezi inafanywaje..[emoji23]
Na adhabu ya pili, kuandika barua ya kutotaka kwenda uwanjani kwa mechi ambayo imeahirishwa tayari..hio adhabu tuweke hapa kanuni zake zinasemaje kwamba ukiandika barua kua huji uwanjani kwa mechi iliyoahirishwa unafanywaje [emoji23][emoji23]