Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Huyo Almas kasongo na wenzake haeajielewi. Wao watangaze tarehe ya mchezo timu itakayotokea uwanjani itapewa point 3 na magoli 3.
Walizifuata, na watazifuataIla ni aibu kwa bodi ya ligi ...wafuate kanuni bila kujali chochote.
Sio rahisi ukeshe Kazini usiku Kucha kisha asubuhi uende kwenye hayo makelele ya Simba na YangaWewe unafikiri kazi ili iwe kaziv azima uamke saa 12 asubuhi kwenda kibaruani?
Uko sahihi,si shauri lipo FIFA sahivi Endelea kurejea Fei toto wakati mpira na siasa havihusianiYanga???nadhan ni mgen nchi hii au bado mtoto,refer sakata la Fei Fei kubwa
Mpili na Magoma hawapo?MBONA HAPO HAKUNA MZEE?
Sio kwa tzUko sahihi,si shauri lipo FIFA sahivi Endelea kurejea Fei toto wakati mpira na siasa havihusiani
Ikitoka adhabu utasema sio tz.... Mpaka sahivi Bodi Tu haijapanga Tarehe Huoni ukubwa WA hili swalaSio kwa tz
😀😀😀😀Klabu ina wazee ila haina timu ya vijana. TFF shusheni daraja hili klabu.
Tarehe itapangwa hadi wawekane sawa na yanga, hili suala litamalizwa kama ilivyomalizwa ishu ya fei, amini nakwambia, hao viongozi wa hizo team kutwa wapo mikutano ya ccm unategemea nini?Ikitoka adhabu utasema sio tz.... Mpaka sahivi Bodi Tu haijapanga Tarehe Huoni ukubwa WA hili swala
😂😂😂Mna utahira uliyokubuhu!!, Yaani mnachukulia poa sana sababu za kiusalam?. Acheni utahiraKanuni ya 34:1(1.3) kwa sababu za kiusalama baada ya kupokea ripoti ya Afisa Usalama wa mechi na maofisa wa mchezo.
Wafuate kanuni gani kwa sasa?Ila ni aibu kwa bodi ya ligi kuihusisha serikali kwenye jambo ambalo kikanuni linatatulika, wafuate kanuni bila kujali chochote.
Sasa wanafanya kazi gani kama wataingiza siasa kwenye hili?
Naamini JK na Mzee Manara hawakuwa sehemu ya hawa wazee.Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025.
Pia, Soma