Wazee wa Yanga Dar wagomea dabi kuchezwa tena baada ya kuota mbawa

Wazee wa Yanga Dar wagomea dabi kuchezwa tena baada ya kuota mbawa

Safi sana wazee wahuni, kazeni msilete timu tuchukue point za bure. Bodi endeleeni na mchakato
 
Usalama ni maswaka ya polisi.
Kanuni namba ngapi ya bodi inawataka kusikiliza polisi kwenye kuahirisha mechi? Kanuni inasema wazi sababu ya dharura au yoyote ya msngi itakayokubaliwa na TFF.Maadam imekubaliwa na TFF jua Yanga watacheza mechi itakayopangwa au watapokonywa wao points 3
 
Bodi ya Ligi walipotakiwa kufuata kanuni march 8 walishindwa kufanya hivyo sasa hali ni ngumu zaidi kuliko mwanzo. Ili mazungumzo yaanze bodi ya ligi ijiuzulu kwa kufanya hivyo na mechi itachezwa
Hii inaweza kuwa suluhu. Tofauti na hapo mambo magumu. Binafsi kama shabiki wa Yanga ile Tarehe 8 March nilikua na mzuka kweli wa kuona Debi. Ila kwa sasa hata kuisikia sitaki naona uhuni tu. Bora hata isichezwe.
 
Kanuni namba ngapi ya bodi inawataka kusikiliza polisi kwenye kuahirisha mechi? Kanuni inasema wazi sababu ya dharura au yoyote ya msngi itakayokubaliwa na TFF.Maadam imekubaliwa na TFF jua Yanga watacheza mechi itakayopangwa au watapokonywa wao points 3
Unaandika kama umekatwa kichwa. Kilichowafanya Bodi wahairishe mchezo wa Machi 8 ndicho kinachowafanya wahofie hiyo tarehe mpya. Mnapenda kupetiwa petiwa.
 
Nimeshtushwa kuona kwenye hiyo press conference ya hao Wazee, nimewaona na Vijana wakiwa ndiyo wanapiga hizo kelele za kususia mechi.

Sasa Leo ni siku ya kazi, na ni majira ya saa 5 asubuhi

Sasa hao Vijana wanafanya kazi za kuwaingizia kipato saa ngapi kama muda wote wanadeal na mambo ya Simba na Yanga tu??

Hii Nchi kweli ngumu 🙌
 
Unaandika kama umekatwa kichwa. Kilichowafanya Bodi wahairishe mchezo wa Machi 8 ndicho kinachowafanya wahofie hiyo tarehe mpya. Mnapenda kupetiwa petiwa.
Wewe si mmoja wa wale wawili ndio maana badala ya kujibu hoja umekimbilia kuharisha kwenye post ya wenye akili.Joined February 2025 karibu kwenye jukwaa la wenye akili
 
Nakuambia mkuu humu Kuna mamburula sana haswa mashabiki wa yanga. Ni wapumbavu sijapata kuona..
Wewe kwanza umeinyima timu pinzani isifanye mazoezi siku Moja kabla ya mchezo, hii unatakiwa upigwe adhabu
Bado ukakiuka maagizo ya mabosi wako kua mechi hakuna na ukakaidi.ukapeleka timu uwanjani huku kukiwa hakuna marefa Wala officials yoyote halafu wanataka point tatu, Wana ukichaa? Hapa Bado Kuna adhabu yake ya kukaidi mamlaka

Simba mkononi Wana shahidi za kutosha kuanzia kuzuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi, Hadi mechi kuahirishwa barua wanazo, mtu mpumbavu anasema Simba kagomea mechi, unagomeaje mechi iliyoahirishwa na mabosi..?

Ningeona Kuna watu wa yanga wenye akili zaidi ya wale wawili waliosemwa kua ndio pekee wenye akili Yanga nzima , kama wangeniambia Simba waadhibiwe kwa kutotoa taarifa ya kuja kufanya mazoezi na hio adhabu waiweke hapa kanuni inasemaje timu isipotoa taarifa kua inaenda kufanya mazoezi inafanywaje..[emoji23]

Na adhabu ya pili, kuandika barua ya kutotaka kwenda uwanjani kwa mechi ambayo imeahirishwa tayari..hio adhabu tuweke hapa kanuni zake zinasemaje kwamba ukiandika barua kua huji uwanjani kwa mechi iliyoahirishwa unafanywaje [emoji23][emoji23]
wenye akili subirini pwenti tatu zenu toka kwa tii efu efu
 
Mpira na serikali haviingiliani ukumbuke...Yanga akiamua kukaza hakuna wakumfanya chochote Ndio maana Mwenyekiti WA Bodi ya Ligi nanukuu alisema"Hatuwezi wazuia Yanga kufanya chochote ila ni muhimu itumike busara katika hili"

Ww Lilia utoto Tu, wakati mechi ulikimbia kwasababu za kitoto
Yanga???nadhan ni mgen nchi hii au bado mtoto,refer sakata la Fei Fei kubwa
 
Nimeshtushwa kuona kwenye hiyo press conference ya hao Wazee, nimewaona na Vijana wakiwa ndiyo wanapiga hizo kelele za kususia mechi.

Sasa Leo ni siku ya kazi, na ni majira ya saa 5 asubuhi

Sasa hao Vijana wanafanya kazi za kuwaingizia kipato saa ngapi kama muda wote wanadeal na mambo ya Simba na Yanga tu??

Hii Nchi kweli ngumu 🙌
Wewe unafikiri kazi ili iwe kaziv azima uamke saa 12 asubuhi kwenda kibaruani?
 
Back
Top Bottom