PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa kweli.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

 
Back
Top Bottom