kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Naomba taarifa za Yao Yao na Mkude, hivi Hawa Watu bado ni Wachezaji Wa Yanga.?
maajabu timu yenye vijana ikaikimbia timu ya wazee kwenye derby!Watacheza na timu zenye wazee endelea kuangalia azam TV, (stay tuned)
Naomba taarifa za Yao Yao na Mkude, hivi Hawa Watu bado ni Wachezaji Wa Yanga.?