Wazee wanasema, "chui akijilamba, huwa analamba rangi za doti zake zote, hachagui chache"🐆. Mwanadamu amekuwa na ubaguzi, wakuchagua watu wake wakuwabembeleza, wakuwafichia siri, kuwadekeza.
Kosa alilotenda anayependwa litaonekana kama wala sio kitu, ila akilitenda mwingine anashukiwa kama...