wazembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simbachawene alikiri 40% ya Watumishi wa Umma ni Wazembe, Wavivu, incompetents, kwanini Serikali iendelee kuwabeba?

    Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
  2. F

    Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  3. B

    Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
  4. Bashungwa kuchukua hatua kwa Mameneja wazembe TEMESA, ataka majina kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  5. Dkt. Biteko: Watendaji wazembe TANESCO kuanza kuchukuliwa hatua kila mwezi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ianze kutolewa kila mwezi ili kufahamu maeneo yenye changamoto ya umeme nchini na kurahisisha watendaji wazembe kuchukuliwa hatua...
  6. Kutumbua pekee hakutoshi, shtaki, funga wabadhirifu na wazembe ili kuleta uwajibikaji nchini

    Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha! Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote...
  7. Wazazi wazembe wanatoa Elimu kama Urithi, Sheria ya Mirathi inakataa Elimu sio Urithi, Biblia inataka baba kuacha Urithi

    tunaanza na mistari ya biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana” NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA. Elimu ya Mzungu...
  8. Pre GE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

    Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
  9. Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

    Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.
  10. Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete apewe maua yake kwa kupambana na wazembe na mafisadi

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali. Kikwete ameyasema...
  11. TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

    TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji. Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
  12. Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA. Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela. Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
  13. Maisha ya Kamari yamefanya Vijana wawe wavivu, wazembe ,wasofanya kazi Kwa Bidii

    Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi. Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia. Taifa...
  14. E

    SoC03 Kupambana na udukuzi kwenye tovuti za taasisi za umma watumishi wazembe wawajibishwe

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma. Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
  15. Kiongozi wa Wagner awatukana wakuu wa Urusi, ni wazembe na watasababisha kushindwa

    Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo. =========== Wagner mercenary chief says Ukraine's counteroffensive could succeed against Russian forces...
  16. Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
  17. Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

    WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
  18. Museveni asema Waganda ni wazembe wa kutupwa

    Asema anaongoza watu wazembe sana, wana mvua ya kutosha hivyo hauhitaji kujituma Uganda ili upate msosi, wengi wapo wapo tu siku ziende...... Japo binafsi nimefanya kazi na Waganda, huwa wanajituma ila kuna kaukweli kuhusu hilo la mvua, mataifa ya Kiafrika yasiyokua na majanga ya ukame yanaishi...
  19. N

    Tahadhari kwa wakazi wa Arusha, ni kuhusiana na watendaji wasio waaminifu na wazembe kazini

    Hivi karibuni vimeongezeka visa vingi vya uzembe, utovu wa nidhamu kazini, kunakofanywa na baadhi ya watendaji wa kata zilizopo Arusha. KERO kuu ya kwanza kabisa, ni kuchelewa kufika ofisini bila sababu za msingi, jambo linalosababisha wananchi kushindwa kupata huduma kwa haraka na inavyopaswa...
  20. T

    Kwanini aitwe shujaa katikati ya wenye wivu na wazembe wala rushwa na kulewa asali?

    Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…