KERO Uhaba wa Paspoti unaondelea nchini ni matokeo ya kulinda viongozi wazembe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu.

Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti 60 kwa siku kwa nchi nzima. Ukiwauliza wenyewe wanadai huo ni uzembe wa Ikulu ambao ndio wanaagiza vitabu jambo ambalo ni la kushangaza sana. Ni vipi Ikulu wanahusika na manunuzi ya taasisi nyengine.

Ukiacha paspoti sasa hivi kadi za wageni yaani resident permit card nazo kwa sasa hakuna. Tuna wageni kwenye kampuni yetu wanasotea hizo card kwa zaidi ya miezi sita sasa tukiuliza tunaambiwa kadi zimeisha.
Kana kwamba hiyo haitoshi tuna wageni walikatiwa interim pass nazo tunaambiwa hazipo wanachofanya wanawachorea kwenye paspoti zao hao wageni it shemfull kwa taasisi kama hiyo kwani watu wanaweza kufoji hizo kitu.

Majuzi nimesikia pale Ofisini kwao wanalalamika kwamba wamekatwa nusu ya mishahara yao bila ya kupewa sababu za msingi wanamlaumu sana yule Boss wao Makakala kwamba ameshachoka kuongoza kwa maana hana analoweza kusimamia. Rais anamlinda sababu ya genger tu na sio kwa sifa ya kuongoza.

Naomba mtuwakilishie kilio chetu hasa cha paspoti kwani kwa sasa kuna wagonjwa na wengine wenye safari za dharura wamekwama kusafiri.

Watumishi wa Uhamiaji wanatumia hio kama fursa ya wao kuomba rushwa juzi kuna Mtanzania mwenyewe asili ya Asia alipata paspoti baada ya kuhonga kwa mkubwa mmoja zaidi ya laki tisa, wakati bei halali ni laki na hamsini tu.
 
Hili ulilosema NI kweli Mimi yangu nilifika level ya mpk biodata ikabaki printing Tu naambiwa vitabu hakuna ilibidi NI force Sana kupata gamba
 
uhamiaji janja janja sana wale
 
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu.

Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti 60 kwa siku kwa nchi nzima. Ukiwauliza wenyewe wanadai huo ni uzembe wa Ikulu ambao ndio wanaagiza vitabu jambo ambalo ni la kushangaza sana. Ni vipi Ikulu wanahusika na manunuzi ya taasisi nyengine.

Ukiacha paspoti sasa hivi kadi za wageni yaani resident permit card nazo kwa sasa hakuna. Tuna wageni kwenye kampuni yetu wanasotea hizo card kwa zaidi ya miezi sita sasa tukiuliza tunaambiwa kadi zimeisha.
Kana kwamba hiyo haitoshi tuna wageni walikatiwa interim pass nazo tunaambiwa hazipo wanachofanya wanawachorea kwenye paspoti zao hao wageni it shemfull kwa taasisi kama hiyo kwani watu wanaweza kufoji hizo kitu.

Majuzi nimesikia pale Ofisini kwao wanalalamika kwamba wamekatwa nusu ya mishahara yao bila ya kupewa sababu za msingi wanamlaumu sana yule Boss wao Makakala kwamba ameshachoka kuongoza kwa maana hana analoweza kusimamia. Rais anamlinda sababu ya genger tu na sio kwa sifa ya kuongoza.

Naomba mtuwakilishie kilio chetu hasa cha paspoti kwani kwa sasa kuna wagonjwa na wengine wenye safari za dharura wamekwama kusafiri.

Watumishi wa Uhamiaji wanatumia hio kama fursa ya wao kuomba rushwa juzi kuna Mtanzania mwenyewe asili ya Asia alipata paspoti baada ya kuhonga kwa mkubwa mmoja zaidi ya laki tisa, wakati bei halali ni laki na hamsini tu.
Things Fall Apart
 
Inaweza kuwa ni hii homa ya uchaguzi, may be, security wanaona kuna risk ya outsiders kuingia nchini kinyemela na kuleta shida. So, inaonekana ni uzembe ila if you look through things, ni planned!
 
Vitu muhimu vinapuuziwa harafu vitu vya hivyo ndio vimepewa kipaumbele.
 
Oooh, nchi imerudi back kwenye uongozi wa enzi za Jakaya.
Huyu Mzee JK anaweza akawa na changamoto zake ila huku kwenye mambo ya Diplomasia na raia kusafiri enzi za utawala wake ilikua rahisi sana hata maswali ya kipuuzi wakati wa kuchukua passport yalipungua kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom