waziri kivuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ACT dhidi ya Operesheni ya Serikali kuwaondoa Wamachinga Nchini

    https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026 Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Muda wa meli kukaa Bandari ya Dar umeongezeka, kumechochea mfumko wa bei

    Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam. Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Ntobi ateuliwa Naibu Waziri kivuli wa habari ACT Wazalendo

    Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu. TAARIFA KWA UMMA Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri kivuli ACT Wazalendo NdolezI Petro: ACT hatuna kauli ya kwamba hatutashiriki kwenye Uchaguzi

    Wakuu, Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera , Vijana , Kazi na Ajira amesema yafuatayo wakati yuko kwenye kwenye mahojiano pale EATV "Hoja ya kushiriki uchaguzi mkuu bado hatujaifuta, hakuna kikao ambacho tayari kimekaa kikaja kikafuta kauli ya kwamba hatutashiriki uchaguzi,"
Back
Top Bottom