Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya...
Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.