Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi na kuhesabu matofali angeleta upinzani.
Amechagua njia mbaya sana kwa sasa na anaenda kupotea imani ya wananchi dhidi yake, utawala wa sasa umeegemea kwenye kuungwa mkono na dola badala ya wananchi hii ni mbaya kwenye Tanzania ya kesho.