Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
- Thread starter
- #21
na watu kwahiyo ubaya upo kwa hao watu au chama chao ?Chama kinaundwa na nini? Tuanzie hapo
kwani ubaya ni nini ?
upo sehemu gani kwenye chama?
na watu kwahiyo ubaya upo kwa hao watu au chama chao ?Chama kinaundwa na nini? Tuanzie hapo
Huyu inasadikika anatokea makamba huko, hivyo hana sifaKwa watu walio hai ndani ya CCM,mtu pekee mwenye sifa za urais ni DKT.Mpango na Mimi.
Kuna tatizo moja kwenye ujumbe wako, ccm na haki hawakai sehem moja
Kama chama kinaundwa na watu na hao watu hawana nia njema maana yake chama hakina nia njemana watu kwahiyo ubaya upo kwa hao watu au chama chao ?
kwani ubaya ni nini ?
upo sehemu gani kwenye chama?
kama chama ni watu na hakuna chama bila watu sindio je ubaya ni nini ni watu au nichama ?Kama chama kinaundwa na watu na hao watu hawana nia njema maana yake chama hakina nia njema
huwez kutenganisha chama na wanachama ambao ni watu. Maana bila watu hamna hiko chama
Kwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi na kuhesabu matofali angeleta upinzani.
Amechagua njia mbaya sana kwa sasa na anaenda kupotea imani ya wananchi dhidi yake, utawala wa sasa umeegemea kwenye kuungwa mkono na dola badala ya wananchi hii ni mbaya kwenye Tanzania ya kesho.