Kati ya Kikwete na Majaliwa; nani mkweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi?

Kati ya Kikwete na Majaliwa; nani mkweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.

Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya kiasi hicho.

Katika hali ya kushangaza waziri mkuu wetu ameibuka na hoja kuwa sheria za uchaguzi zinapendelea chama tawala.

Kwenu wadau wa demokrasia mnadhani nani kati ya Kikwete na Majaliwa anasema ukweli?

View: https://youtu.be/hivZfteopK4?si=YSw0zNvlMAGHFOdZ
 
Mzee kikwete ni mtu ambaye ana nufaika na utawala uliopo hivyo hawezi jibu jambo hili kwa ukweli. Na huyu mzee ni anajitoa tu ufahamu. Sheria ni mbovu ziboreshwe na mwisho Majakiwa kayasema hayo lini sijaipata hii..?
 
Leo sita andika makala ndefu, lengo lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.

Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya kiasi hicho.

Katika hali ya kushangaza waziri mkuu mataafu ameibuka na hoja kuwa sheria za uchaguzi zinapendelea chama tawala.

Kwenu wadau wa demokrasia mnadhani nani kati ya Kikwete na Majaliwa anasema ukweli?
Waziri mkuu mstaafu Majaliwa amesemea hayo wapi?
 
Back
Top Bottom