waziri nanauka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ilikuwa nguvu ya soda? Waziri wa vijana kapotelea wapi?

    Ndugu zangu, baada ya kadhia ya Oktoba 29, ilianzisha wizara itayodili na masuala ya vijana tu. Sote tuliona waziri mwenye dhamana kuzunguka baadhi ya mikoa na kukutana na makundi mbalimbali ya vijana ili kusikiliza kero zao. Nini kimemkuta waziri wetu sisi vijana? Mbona hatumuoni tena?
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Nanauka: Vijana hawana taarifa za fursa za serikali

    Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema baada ya kuwatembelea vijana kwenye maeneo mbalimbali amegundua kuwa moja ya changamoto zao ni kutokuwa na taarifa za fursa zinazotolewa na Serikali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…