waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  2. Mr Why

    Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  3. K

    NI MUDA MZURI SASA KWA WAZIRI WA FEDHA KUJITAFAKARI ,IKIWEZEKANA AJIUZURU NAFASI IMEMPWAYA.

    NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA SWALA LA MAPATO NI MTU ANAEKURUPUKA BILA KUFIKIRIA WATANZANIA. SAY NO TO MWIGULU.
  4. Eng Kimox Kimokole

    Deni la Taifa ni giza tuendako

    DENI LA TAIFA NA GIZA TUENDAKO 1961 - 1985 Chini ya utawala wa Mwl. Nyerere (RIP) aliyetawala kwa takriban miaka 25, pamoja na vita ya mwaka 1978-1979 na Idi Amini wa Uganda, mpaka anang'atuka madarakani Deni la Taifa lilikuwa trilioni 3 pekee. 1985 - 1995 Kwenye utawala wa Ali Hassan Mwinyi...
  5. Q

    Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

    Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024. Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024. Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga. LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
  6. Replica

    Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wamefikiwa, wawekewa tozo ya 382 kwa kila kilo

    Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta usawa kwa magari yanayotumia mafuta. Swali langu kwa Mwigulu, kwanini ahangaike na kuleta usawa na...
  7. BabuKijiko

    Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

    Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40% Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
  8. Analogia Malenga

    Waziri Mwigulu: Bado tuko imara kukopa kuliko nchi nyingine za Africa Mashariki na SADC

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC. Mwigulu amesema hayo akisoma hotuba ya bajeti bungeni ambapo amesema deni lililopo limefanya mambo mengi mazuri ikiwemo...
  9. The Sunk Cost Fallacy 2

    Pre GE2025 Waziri Mwigulu: Wanasiasa waliofilisika wanatafuta uhalali wa kisiasa kwa ubaguzi ni hatari na wa hovyo

    Akisoma Bajeti ya Serikali Bungeni Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba ametoa onyo Kali Kwa Viongozi wa Kisiasa wanaopanda mbegu za chuki, ubaguzi na kuvunja utaifa wa Tanzania kuacha mara Moja vinginevyo watashighulikiwa. Dr.Nvhemba amesema watu hao wanakiuka misingi ya Taifa hili na misingi ya...
  10. Analogia Malenga

    Mwigulu ataka makosa ya barabarani yachukuliwe serious zaidi kuliko ilivyo sasa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja idadi ya ajali zilizotokea Tanzania kwa mwaka ambapo ametaja kuwa kumerekodiwa ajali 1093 ambapo zimesababisha vifo 7636 na majeruhi 12663 ambapo wengine wana ulemavu wa kudumu. Aidha ametaja kuwa suala hili ni chanzo cha yeye pia kuondolewa uwaziri...
  11. Analogia Malenga

    Waziri Mwigulu: Kutoza ndani ya nchi kwa dola ni kosa, watakiwa kuacha kuanzia Julai mosi

    Mwigulu Nchemba akisoma bajeti ya serikali bungeni amesema suala la taasisi binfasi na za umma kutaka malipo ya huduma kwa fedha za kigeni zinaleta shida kwa watanzania kwa kuwa wanatumia Tsh na sio dola. Amesema suala hili linafanya watanzania kuhangaika kuipata dola, wakati inabidi hata...
  12. Roving Journalist

    Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itasomwa leo tarehe 13 Juni, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. ====== Mwigulu amenza kusoma bajeti na anaanza kwa kuzitaja shabaha za uchumi Kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la Taifa kufikia 5.4% kwa mwaka 2024 Kuendelea kudhibiti kasi ya mfumuko...
  13. V

    Rais Samia kusaini matrilioni ya pesa za mikopo bila uwepo wa Waziri Fedha ni sawa?

    Nimepitia picha mbalimbali walizopiga viongozi walipotembelea Korea Kusini walikoenda kusaini mikopo sijaona Waziri wa Fedha na uchumi akionekana Je, kwa wataalaamu wa uchumi hili jambo ni sahihi? Mshauri namba moja wa Rais kuhusu mkopo ni Waziri wa Fedha, kwanini hajaenda yeye? Hili suala...
  14. BARD AI

    Ghamara za kulipa Deni la Serikali zimepanda kufikia Tsh. Trilioni 13.13 kutoka Tsh. Trilioni 10.48

    Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha, Serikali imetenga kiasi hicho cha Fedha kwa mwaka huu ikiwa ni...
  15. BARD AI

    Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania ilivyo sasa, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Fedha utafanya nini kipya?

    Mimi ningekuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania, ningechukua hatua zifuatazo ili kukuza uchumi wa wananchi na taifa: 1. Kuboresha Mazingira ya Biashara: - Kupunguza urasimu na kurahisisha taratibu za kuanzisha na kuendesha biashara. - Kuhamasisha uwekezaji wa ndani na nje kwa kutoa motisha...
  16. R

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  17. Mtani wa Taifa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana. Mungu amlaze mahali pema...
  18. Msanii

    SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  19. Roving Journalist

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba awataka Watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani. Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
  20. BARD AI

    Waziri wa Fedha-Kenya: Serikali imeelemewa na Madeni, Mzunguko wa Fedha umekuwa mgumu

    Waziri wa Fedha na Hazina wa Kenya, Njuguna Ndung’u ameiambia Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa kuwa Madeni ya Mikopo ya muda mfupi yanayoendelea kuiva, kushuka kwa thamani ya Shilingi na viwango vya juu vya riba vimesababisha nchi hiyo kuwa katika hali ngumu ya Kifedha. Prof. Ndung’u amesema...
Back
Top Bottom