Kumekuwa na malalamiko lukuki kuhusu kodi na ushuru mbalimbali kwa Wafanyabiashara wa hapa nchini. Mshauri wako mkuu ni Waziri wa Fedha ambaye kwa ushauri wake anawaumiza wafanyabiashara na hii imefanya wafanyabiashara kugoma hasa pale Kariakoo. Ninavyoona mgomo huu utaenea nchi nzima kama...
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?
Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila...
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.
Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.
Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
MFUMUKO MDOGO WA BEI TANZANIA (LOW INFLATION RATE IN TANZANIA 2023)
Tanzania ni kati ya nchi chache Barani Africa zenye mfumuko mdogo wa bei ukilinganisha na nchi nyingine nyingi zenye mfumuko mkubwa wa bei kuanzia 5.0% mpaka 87.6%. mfano (Rwanda 30.3% & Zimbabwe 87.6%)
Katika ripoti...
Salaam Wakuu.
Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA.
Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na...
Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye.
Ungempendekeza Nani?
Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo.
Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
Waziri wa fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, leo akifanya mazungumzo ya kimkakati na CloudsTV amesema hakuna siku mtanzania yeyote ataombwa mchango kulipa deni la Taifa.
Mwigulu Nchemba, anatajwa kuwa msomi wa uchumi labda haelewi au ana kiburi au dharau au anapotosha umma kwa makusudi kwa...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa.
Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo.
Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading)
Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa
Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.?
Form four felia...
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu.
Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi.
Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha...
Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa.
Waziri wa Fedha na Mipango wa...
Hili swala linafikirisha..
Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng..
Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi...
Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake.
Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo langu fulani ofisini kwa Mkurugenzi wa Utumishi Mr Mdidi ghafla waziri akaingia na kuongea kidogo...
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.
Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.
Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!
========
Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.