wazo

  1. E

    Wazo la biashara (alfajiri)

    Jambo, Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am) Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana Karibuni kwa mawazo
  2. Qashy Lilith

    Wazo kuu la kupata pesa

    Habari zenu JF Mimi nilikuwa Nina ushauri ..kutokana na Hali ya uchumi nchini kwanini Hela zisitengenezwe nyingi afu watu wapewe Kila mtu akawa na hela nyingi zingine tukalipa madeni ya nchi zingine tukaboresha miradi ..zingine tukatengeneza nchi ikawa bora ...
  3. B

    Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  4. T

    Unatafuta Programu (Application au Website)? Unabiashara au wazo? Njoo Tuyajenge!

    Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana ✅ Nina uzoefu katika: Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  6. Bodhichitta

    Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  7. S

    Utafiti unafanywa kupendekeza Israel ifukukuzwe uanachama wa Umoja wa Mataifa, Indonesia, Malaysia, Norway, Namibia, Qatar zikiunga mkono wazo hili

    Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa. Nini...
  8. A

    Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

    Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
  9. Equation x

    Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  10. Komeo Lachuma

    Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake...
  11. D

    Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

    I will be short 1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that?? Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same. 2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league? not a single...
  12. D-Smart

    Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

    Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
  13. R

    Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

    Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa. Mada husika iko hivi. Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo. Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja...
  14. E

    Wazo la biashara ndogondogo

    Wakuu, nahitaji wazo la biashara ndogondogo yoyote Location: Dar es salaam
  15. Morning_star

    Wazo gani la kwanza ukujia ukikuta mtu au familia imefuga ndege aina ya 'njiwa'?

    Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa". Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
  16. P

    Naomba kufahamishwa kuhusu mtaji unaohitajika ili kufanya hii biashara!

    Wasaalam ndugu na jamaa Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje? Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m? Na je ni maeneo yapi yanafaa?
  17. Brojust

    Biashara ya kuuza wazo la Biashara.

    Habari za leo wakuu; Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake. Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la...
  18. NyegereBOY

    Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  19. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Muflisi: Alijaribu Kujitenga lakini Anarudi Bila Tenga...

    Na. M. M. Mwanakijiji Rais Samia alitaka kupendwa. Rais Samia alitaka kukubalika. Rais Samia alitaka kuoenakana yeye siyo kama yule. Baada ya kuapishwa kufuatia maombolezo ya kifo cha Bw. Yule mara moja watu walianza kusema sasa "wanashusha pumzi". Wapo watu walisherehekea na wakajua kuwa sasa...
  20. TUKANA UONE

    Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
Back
Top Bottom