Wazo liko hivi;
Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.
Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
Eneo linauzwa,liko Mivumoni,
Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni!
Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo kuna nyumba ya kuishi yenye vyumba viwili vya kulala pamoja na sebule,pia kuna mabanda manne makubwa...
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu...
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
Napoishi ni karibu sana na beach ya bahari ya hindi almost mita 300 hivi pia ni karibu na chuo cha afya chenye wanafunzi kama 1000..sasa nimeona kuliko kukaa tu nyumbani au kwenda kunywa pombe kwenye ma bar na mwisho kugombana na watu nimepanga baada ya kutoka ofisini saa tisa na nusu niwe...
Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao.
Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa...
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama...
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.
Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner.
Kama...
Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi.
Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao.
Mimi...
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
Unakwama nini katika uandikaji miradi ya kuomba ufadhili, au kuvutia uwekezaji au kuuza wazo?
Tuwasiliane, (writing is also an art, which differ from one person to another) if you think writing isn't your interesting field, then consult me, share me your project idea or business idea. Any...
Wanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari, anaonekana kutilia shaka lengo kuu la vita vya Israel vya Gaza baada ya kupendekeza kuwa Hamas ni 'wazo' ambalo haliwezi 'kubomolewa.'
Chanzo: Al Jazeera
The IDF signaled its agreement, saying it was acting to achieve Israel's war goals "tirelessly"...
Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko.
Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
Ni rahisi sana kumiliki App yako ya biashara. Njoo na wazo lako Syslog Company Limited tutalifanyia kazi. Tupigie /WhatsApp 0754446773 | Email: info@syslog.co.tz
Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
Habari Wakuu,
Naitwa [Jina Lako], mtaalamu wa ufugaji samaki, na nimekuja kwenu na wazo la biashara ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya ufugaji samaki. Ninapendekeza kuanzisha kituo rasmi cha uzalishaji wa mbegu bora za samaki aina ya sato.
Sekta ya ufugaji samaki nchini...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania
MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa)
“Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.