wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  2. T

    Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine. Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa...
  3. Pdidy

    Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

    Omba isikutokeee sikia kwa watu
  4. Beira Boy

    Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
  5. Yoda

    Wazungu wa Afrika Kusini wakata kata kata ofa ya Trump ya ukimbizi Marekani.

    Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya Africa Kusini, wazungu wenyewe wa huko wamepuuzilia mbali hatua hizo wakipaza sauti kila kona kwamba...
  6. The Assassin

    Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  7. M

    Muhuni kawastua wazungu nusu waanguke chini

    Kwema wakuu!!!! Leo nina kisa kidogo hapa cha kupotezea potezea muda. Mida ya jioni leo nikasema nikatembelee mitaa flani kuwachek washkaji tubadilishane mawazo. Nipo zangu road kuelekea kwa washkaji, katokea bodaboda kasi hatari. Ni main road ya mkoani, yule boda alivyomjinga kapita na chupa...
  8. Jidu La Mabambasi

    Donor Fatigue: Wazungu wametuchoka, sisi tunanunua ma VX!

    Matusi ya Donald Trump Rais wa Marekani kwa wananchi na viongozi wa Dunia ya Tatu, hasa Afrika, yamekaa mahali pake. Wenye akili tunaambiwa kwa sauti kubwa: OMBA OMBA YENU TUMEICHOKA! Hapo ndio tutamkumbuka Mwalimu Nyerere na siasa yake ya kiuchumi ya KUJITEGEMEA. Watanzania na waafrika...
  9. KING MIDAS

    Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  10. Trainee

    Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

    Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
  11. M

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  12. GoldDhahabu

    Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
  13. GoldDhahabu

    Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  14. SIPENDI SIASA

    Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

    (1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu. (2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao. (3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu?? Siku hizi nimekuwa...
  15. matunduizi

    Kama sio wakoloni (wazungu) na dini walizoleta Afrika tungekuwanyuma sana

    Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa. Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni. Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu. Kuna mambo ya maana mtu alikuwa...
  16. matunduizi

    Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  17. M

    Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
  18. Yoda

    Tusingetawaliwa na wakoloni kama babu zetu wote wangepambana kidete na wazungu wavamizi.

    Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa, 1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora 2. Chifu Mkwawa- Wahehe 3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha 4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni 5.Chifu Machemba-Wayo...
  19. Balqior

    Swali: Kwanini project nyingi ndogo ndogo za afrika ili ziendelee, inabidi tuombe pesa toka huko kwa wazungu? Kwetu hatuna matajiri?

    Habarini: Sizungumzii project kuuubwa, k.v ujenzi wa SGR au bwawa la umeme nazungumzia project za kawaida kama ujenzi wa choo cha wanafunzi, au darasa au maabara kwenye shule, au ujenzi wa vyumba vya waalimu, kisima, dispensary etc Sometimes unakuta hela inayohitajika sio pesa nyingi sana...
  20. G

    Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
Back
Top Bottom