Habari
Najaribu kufungua website ya Halotel www.halotel.co.tz haifunguki. Hii error ni kwangu tu au? Kama wahusika wamo humu fuatilieni. SSL imepitwa na muda nadhani ndiyo tatizo ila Kuna option naweza kuingia insecure lakini hapa hakuna inataka Reload lakini haisaidii chochote
Matarsoft inatoa huduma ya kutengeneza tovuti au website kwa wafanya biashara, kampuni na kwa wajasiria mali.
Biashara yako inahitajia website kuonekana professional. Pata huduma yetu kwa kutembelea tovuti yetu
Matarsoft.com
Au tuma barua pepe, kwenda
hello@matarsoft.com
Au Wasiliana nasi...
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass.
Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
Habari za wakti huu;
Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
Wakuu salama?
Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google.
Pia unaweza...
Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio......
- Download Opera browser
- Ingia kwenye menu
- Ingia...
Habari wadau !!
Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site
Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php...
Habari za wakati huu;
Website Inauzwa.Ni website ya biashara ya affiliate/reseller Program.Ukinunua website utapata faida zifuatazo;
Utapata Domain name
Utaweza kuingiza kipato kwa kuuza bidhaa mbalimbali kama zilivyo katika website
Utapata mafunzo ya jinsi ya kusimamia na kuendesha biashara...
Hi
Forgive my post in English. Are there any property websites that cater exclusively to Tanzania? I'm thinking of starting one and would be grateful for your assistance.
I would also appreciate any views you may have on the idea.
Thanks
Having a website means customers are always able to find your business at anytime, anywhere. Even outside of business hours, your website continues to find and secure new customers. It offers the user convenience as they can access the information they need in the comfort of their own home, with...
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.
Unfortunately, kwa sasa...
Je, wewe ni mmiliki wa BIASHARA ambaye ni Mkazi wa Maeneo TAJWA hapo JUU?
Je, unataka kuweka biashara yako mtandaoni ili iwe ya kisasa na kurahisisha mawasiliano yako?
Je, wewe ni mmiliki wa yoyote kati ya aina hizi za biashara:
Hotel na Lodges
Kuuza na Kununua Dhahabu
Biashara ya...
Habari wadau!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.
Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
Offer Deal for Tanzania Hosting
Buy Domain from microsafi.com for at least 1year and get a free Hosting for the first year. Our hosting plans include everything you need to start building your dream online. Web hosting is our specialty. Happy customers are the priority. Our aim is to host your...
Salaamu kwa wote.
Hivi karibuni mh.Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu alitoa taarifa ya makusanyo kwa kila Halmashauri ikiwa ni utaratibu wao wa kufanya tathmini ya utendaji wa Halmashauri zetu.
Taarifa husika ilikuwa na uchambuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindanisha makundi ya Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.