Habari wanajukwaa,
Mara nyingi naona watu wakihangaika kupata website kwa ajili ya biashara zao,taasisi au NGO's, Huwa ninawapatia jibu moja kwamba hakuna haja ya kuhangaika, zaidi ya kushika simu na kupiga namba 0629266460 na ndani ya siku mbili tu unapata full developed website pamoja na...
Website ya Ubalozi wetu Brazil Inavutia Sana. Karibu tujionee namna ambavyo Balozi zetu zinavyovutia wawekezaji.
Ambassador's Message | Tanzania Embassy in Brasilia, Brazil
Ubalozi wa Kenya, Brazil
https://kenyaembassybrazil.com.br/
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile.
sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
Tunajaribu kupata information toka NACTEVET with regard to the coming academic year, website haifunguki/haipo. Tusaidieni wahusika kuna nini?
Tunataka kujua matokeo ya mitihani ili wazazi tujiandae na ada etc etc etc.
We are in darkness.
Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri.
kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka.
Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS
. au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
Ilikuja Q-NET tukaona Waziri Kigwangala akihusika ufunguzi wa ofisi
Ukienda Website ya JATU unakutana na picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama.
Lakini mwisho wa siku ni wananchi kulia kutapeliwa pesa zao. Hawa viongozi wametumika kujenga imani za wananchi kutoa pesa zao.
Bado najiuliza...
Jamani ndugu zangu wa jf, naomba kuuliza.
Ninahitaji kuanzisha native application ambayo inavitu complicated kiasi ndani yake.
Je, nitafte kampuni initengenezee App, ama nitafte developer wa mtaani?
Na kama ni kampuni, kampuni gani liko vizuri na lina uwezo mkubwa hapa Tanzania?
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.
Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo;
Database
1. Database cleanup
2. Database optimisation
3. Database...
Habari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha nikaanzisha Blog.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya...
Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na...
Je?, Wewe Ni Mfanyabiashara Au Mjasiriamali unaemiliki Kampuni Yako Binafsi Isiyokuwa Na Website Wala Email za jina la biashara yako??
Je?, Unatamani Kuwa Na Website Na Email Zenye Brand Ya Jina La Biashara Au Kampuni Yako?
Je? Unahisi Kwamba Ni Gharama Kubwa Kumiliki Website Au Tovuti Ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.