Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni.
Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza
Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana upeo wake pamoja na uzoefu unaomsaidia kupata pesa mtandaoni, lakini pia kufanya biashara mtandaoni...
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go.
Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
Bloomberg) -- The U.S. has blocked three dozen Iranian websites in retaliation for what Washington described as an attempt to influence American elections, a move likely to inflame tensions as diplomats seek to restart nuclear talks in Vienna.
Washington acted as world powers seek to revive a...
Habari wana JF leo tutashirikishana faidha za website ili kukuza na kutangaza biashara yako.
Watu wengi wamekuwa wakipata shida ni nanmna gani biqshara zao zinaweza kujulikana na kuwafikia watu wengi. Leo tutaona baadhi ya faida za website kwenye kutangaza biashara yako.
1. KUWAFIKIA WATU WENGI...
Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month.
Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa.
What's wrong!?
Habarini za majukumu, ninajua kuna blogs,website na platfom nyimgi tuu za ndani ya nchi na nje ya nchi ambazo hulipa waandishi baada ya kupublishi habari zai.
Kwa mwenye connection ya jinsi ya kujiunga au kupata mawasiliano yao au kujiunga , tusaidiane kujikwamua kiuchumi kupitia uzi huu.
Habari wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja.
Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku
Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba
Muziki,habari,udaku na vichekesho..
Kiukweli hata kwenye search ingine ikikuwa katika top results
Sasa nikanunua domain.name kupitia maddogs domain kwa...
Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona ina uafadhali katika kutengeneza website Bure.
Maana, kuna njia nyingi lakini, katika hizo nyingi zao...
Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie.
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, imekuwa jambo la kawakda kwa tovuti nyingi za kibongo kutokuwa na structure, organization...
Habari za wakati huu;
Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na kazi yake ni nini?
Tovuti ni nini?
Tovuti ni anuani ya mtandaoni.Ni sehemu katika mtandao ambamo...
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana...
biashara
faida ya website
gharama za kuanzisha website
jinsi ya ku host website
jinsi ya kutengeneza website
jinsi ya kutumia wordpress
mfano wa website
namna ya kutengeneza websitewebsitewebsite ni nini
Site yenyewe hii hapa:
http://watumishiportal.utumishi.go.tz/
Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017
Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017
Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
(NB: UKITUMIA DAKIKA 7 KUTULIA NA KUSOMA NAKALA HII MPAKA MWISHO, UTAKUWA UMEONDOKA NA JAMBO KUBWA SANA LA KUBADILI BIASHARA YAKO MTANDAONI)
Moja ya sababu kubwa website nyingi za biashara zinakufa au zinadumaa, japokuwa website unakuta zinamuonekano mzuri, mpangilio mzuri na taarifa...
Blog ni nini?
Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani, machapisho katika bloghuwekwa mara kwa mara ili kutoa taarifa husika za kila siku.
Taarifa hizi za kila siku zinaweza wekwa kwenye blog zinaweza zikawa habari, tetesi muziki na matukio.
Mfano wa blogu...
Habari wakuu,
Ukiwa unafanya application katika website huku ukihitajika ku_upload some files na wakati huo website ikawa slow kulingana na kuwa overwhelmed na applications nyingi kutoka kwa watu mbalimbali.
Je, kuna app yeyote au namna yeyote ya kubypass hii lag na kufasten the process?
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020.
Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake...
Watu wengi hushindwa kufahamu kwa hakika faida za kuwa na website kwa ajili ya biashara zao.Matokeo yake wengi wao hujikuta wakipoteza fursa ya kupata wateja na kujipatia kipato au kukuza biashara zao.
Katika zama hizi ni bora kampuni yako iwe na website kuliko iwe na physical office.Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.