Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.
Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi.
Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa ajili ya kufua. Tafuta pesa wewe, uache kusema niwekee chips za kushiba.
Tafuta pesa wewe, kwenye...
Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie.
kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?
Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to...
Acha ujinga wewe
Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
—Mama
Ni bora kuliko
"Woow thx babe nimeiona love u."
—Girlfriend
Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako...
Watu wengi haswa wenye shughuli rasmi kama biashara au ajira huwa wana mapumziko mwisho wa wiki.
swali langu ni je unautumiaje muda wako wa weekend ambapo hauna jukumu la kufanya kazi? Hebu toa ratiba ili watu wapate kujifunza.
Makala mbalimbali zinashauri vitu vya kufanya wikiendi:
1...
Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa
Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
Ukiachilia mbali yale ya yule bi dada mwenyekiti kule kwenye jumba vikao vya kaya.
Wakuu kwa wale mlioutwangwa mtindi weekend hii ukizingatia ilikua ya mwisho wa mwezi tukumbushane tu hata kama tuna mning'inio wa maana tuamke tukasake dooo.
Aisee wiki inaisha na mwezi unaisha, kwa huku Marekani hapa nilipo leo kuna mechi kubwa sana ya American Football, kwa hiyo ofisi nyingi zimefungwa saa sita mchana. Na kuanzia hapo ni wadau tu wanaweka mabango ya kufanya burudani zao.
Maisha ni tofauti sana, tangu saa sita ndege mbili...
Kuna mtu anashindwa KULALA kwasababu hana pesa pia kuna mtu anashindwa KULALA kwasababu ana pesa nyingi!
Na haya ndio maisha yetu wanadamu...changamoto hazikosekani kwa hali yeyote utakayokuwa. ✍🏾
Habari wakuu?
Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku.
Kupumzika pia ni muhimu, ili kuupongeza mwili kwa kazi kubwa ya kuutumikisha bila kuchoka kwa siku...
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: -...
Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu
1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana
2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?"
Ni haya tu kwangu
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA
2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za
Kilo 4.5 - 120,000 tu
Kilo 7 - 560,000 tu
Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford
Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana
kwa 0772835536.
Karibuni sana wateja
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za
kilo 3 - tsh 120,000 tu
Kilo 4.5 - 350,000 tu
Kilo 7 - 560,000 tu
Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford
Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana
kwa 0772835536...
BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA.
Mithali 20:7
[7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake.
Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika haki, wamama wengi siku hizi hasa hawa mabinti wanajivunia watoto wao wakiwa wazuri wa sura, wakiwa na...
Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana.
Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.