weekend

  1. ChatGPT

    Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

    NB: Woooote isipokua bwana dronedrake , Stress Challenger, mzabzab, 😂😂
  2. K

    Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye mke wake utanisamehe bure.
  3. MoseKing

    Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    NI bashasha kwa waalikwa.
  4. covid 19

    Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  5. N

    Weekend Movies

    Wadau wa movies,Kuna movie moja imechezwa Africa na watoto wawili, mmja dogo wa kiume na mwingine wa kike(west Africa) hope Cameron. Madogo wote wanandoto za kuzamia ulaya kupitia Morocco to Spain.Madogo wanapanda ndege kule matayle ya ndege yanapojikunjia..........wapo juuu barid kinomaa...
  6. Christopher Wallace

    Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...
  7. Kyambamasimbi

    Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  8. Unique Flower

    Weekend 😘🖐️

    Mwite mtu aje akupe faraja Kwa maneno mazuri mie ni Carrasco putin dear naomba uje unifariji PENZI Penzi njia ya adhabu, sina budi kuipita, Tena ina nyingi tabu, ila siwezi iwata, Leo naomba jawabu, ni lini nitakupata? Penzi pia ni safari, ya hatari na salama, Kuna wakati shuari, mara upepo...
  9. maroon7

    Picha ya kuanzia weekend

  10. DMmasi

    Kabumbu la wikiendi

    Wikiendi yangu leo kwenye kabumbu furaha ipo hapa; ~ Simba sport club #lunyas ~ Manchester United ~ Real Madrid Furaha yako kwenye mpira unategemea kuipata wapi mwanajamii?
  11. Cytochrome p450

    Ubashiri wangu kuelekea mechi za weekend

    Naam, burudani ya soka inarudi tena weekend hii baada ya mapumziko mafupi kupisha michuano ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, hivyo tutashuhudia mitanange kadhaa itakayopigwa katika madimba mbalimbali na nikiwa kama mdau wa soka nimeangazia michezo kadhaa kutoka katika ligi pendwa ya...
  12. Unique Flower

    Salamu za weekend

    Leo ni weekend nani unampa salamu ili aenjoy weekend yake kutokana na maneno mazuri uliompa . Mimi nawapa wote salamu wale wanaonikubali. Weekend njema na ufurahie pia
  13. 911sep11

    Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  14. MALCOM LUMUMBA

    Friday banger: Weekend ndiyo inaanza hivi asee (music is life)

    Wakati mfumuko wa bei ukiendelea kutuchapa kuna mengi pia ya kufurahia kwenye haya maisha.... Leo naanza weekend mapema kabisa, nikila ngoma moja ya hatari sana..... Aliyesema msemo MUSIC IS LIFE hakukosea kabisa.....
  15. S

    Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

    Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
  16. S

    Leo weekend halafu sina hela nimechanganyikiwa

    Leo weekend halafu mfuko umechacha mpaka nimepata hasira
  17. kibovu

    Baa zenye pisi kali kula bata weekend

    Wakuuuu poleni na majukum, Kiukweli huwa nikija dar mapumziko ya kikaz hupenda kujirusha viwanja mbali mbali . Lakini samaki samaki masaki wazeee weekend kuna ps kali zinakula bata tupeane machimbo mengine kesho ntakuwa dar wakuu.
  18. L

    Mwisho wa wiki mgumu na mchungu Tanzania

    Tarehe 30/04/2022 Jumamosi Kariakoo Derby Yanga Vs Simba baada ya DK 90 Kuna watu watalia na kusaga meno, mikeka itachanika, ndoa zitaingia Kizungumkuti na hata like tendo siku hii huenda baadhi litapoteza ladha, wengine watafilisika na mwisho kwa bahati mbaya wengine wanaweza kupoteza uhai kwa...
  19. Sky Eclat

    Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

    Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
  20. Sang'udi

    Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
Back
Top Bottom