Hii mikwaju ya Dancehall Ragga ya enzi hizo haijawahi kukosekana kwenye playlist zangu.
Naweza nikairudia mara mia mia bila kuichoka, zamani kulikuwa na vichwa sana, kuanzia wasanii, producers nk.
1. Shaggy - Church Heathen ft Ninja Man
2. Notch - Nuttin Nuh Go So
3. Sean Paul - Give It Up...
Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala.
Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
Mimi na wenzangu tumrshanunua jezi za Mamellod na tutazitinga, natamani mtu abiguse ilu saa mbili nionekane kwenye taharifa ya habari na front page za magazeti ya kesho yake.
Mafurikoni Vyurani kwa sasa hawana haja ya Augustine kwani wana akina Augustine wa Kutosha, ila kwa Simon wana hitaji nae Kubwa kwakuwa Kwanza Mazingira yote anayajua, Pili katokea hapo na Tatu hata kama asipolipwa hatopiga Kelele sana kwakuwa hata Yeye pia amebebwa sana na hao anaenda Kujiunga...
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia.
Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone.
Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo.
Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika.
Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan.
Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
Salaam nyingi kwa waiter🤣!
Imekuwa ada yaani kama kawaida mikoa yetu maarufu ya kula bata, Dodoma, DSM, Arusha, na Morogoro. Mabaharia tunakawaida ya kutimba viwanja bila hiana bila kelele tunakaa zetu kaunta na kula vyomboz.
Napenda demu pisi ambaye hana matako makubwa sana napenda size ya...
Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki.
Kizuri sana kwa kufanyia mazoezi ya kutoka jasho hiki, hasa mkiwa wawili.
Za wakati huu ndugu zangu wa Tz, ni matumaini yangu ulikuwa na week njema kabisa mpaka sasa tunafika weekend, kwa ambao hamjui leo Prince Dube kapiga hat trick huko Chamazi, 😊😊
Leo sina maneno mengi, wala sitaki kutangaza biashara zangu bali napenda kuwakumbusha wa Tanzania wenzangu kutumia...
*Mliokuwepo hapa Kanisani Jumapili iliyopita mtakumbuka nilitabiri kuwa kutatokea Misiba ya ghafla ya Watu wazito na kama mlivyoona imetokea kweli hivyo nawaombeni leo tusali sana kuomba Baraka ya Uhai kwani bado naliona Wingu la Misiba mingine ipo" alisema Kuhani Richard Mwacha jana Ibadani...
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu.
Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu vingi, vingine hatuwezi hata waambia watu maana ni chafu sana ila nyingine tunaziishi.
Nimeanzisha uzi...
Nipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji.
Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL.
Hii wiki ya International break kwakweli inaboa sana na kuchukiza kwa sisi wapenda kabumbu la EPL.
Kwakweli sijawahi kuwa muumini wa...
Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa.
Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo.
Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.