weekend

  1. kibovu

    Yaliyojiri Weekend ya jana Kidimbwi

    Habari wadau, Ukiambiwa mjini starehe gharama usikodoe macho. Kama ilivoada jana nilitoka out peke yangu nikaenda kidimbwi kumalizia weekend.Nilitoka kwangu mida ya saaa tatu usiku nikafika nikakaa maeneo ya kaunta nilimkuta mshikaji mmoja na madem wawili wanakula kilaji.Mwamba alikunywa...
  2. Stroke

    Wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe tunapokaa. Weekend hatulali

    Amani imetoweka kabisa. Mita chache toka napokaa wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe yaani ikifika ile jumamosi basi amani inatoweka ni kelele mtindo mmoja. Huyu mama wa serikali za mitaa nilikua namheshimu sana lakini kwakweli amenikera kuendekeza hili jambo. Hatulali makelele mtindo mmoja...
  3. Balqior

    Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  4. Cambodian

    Simba na Man Utd kufungwa weekend itakuwa tulivu sana

    Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
  5. lara 1

    Weekend story: A Woman of the people

    Igweeeeeeeee!!! RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! ) Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So...
  6. Determinantor

    Weekend Mood: I shot the Sherrif - Bob Marley

    I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy I shot the sheriff, but I did not shoot the deputy All around in my home town They're trying to track me down They say they want to bring me in guilty For the killing of a deputy For the life of a deputy, but I say I shot the sheriff, but I...
  7. Ferruccio Lamborghini

    Movie of the weekend: JOLT

    intermittent explosive disorder ilimtafuna vilivyo, udogo wake hakuufaidi sababu ya maradhi hayo, hakuna aliependa kumkalia karibu bila sababu, Watoto wenzie walimtenga, wazazi wake wakamshindwa pia, Lindy Lewis akapelekwa hospitali ya watu waliothirika na ugonjwa kama wake, huko pia alishindwa...
  8. EINSTEIN112

    Haya weekend ndio hiooo imeanza, tupe location

    Jumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama. Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location Upo wapi saivi Unafanya nini Tutamanishe vibe la hapo bila kusaha kapicha [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Back
Top Bottom