weledi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Exaudi Kigahe (Mb) ametoa rai kwa watumishi wa kituo cha pamoja cha huduma za forodha Kasumulu kutimiza wajibu wao

    Mhe. Kigahe: Watumishi wa Mpaka wa Kasumulu Timizeni Wajibu Wenu kwa Weledi na kwa Wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Exaudi Kigahe (Mb) ametoa rai kwa watumishi wa kituo cha pamoja cha huduma za forodha Kasumulu kutimiza wajibu wao kwa wakati na weledi ili kuwahudumia wateja ndani...
  3. comte

    Taarifa hii ya TANESCO ni kielelezo cha kukosa weledi hasa wa mawasiliano

    Hivi TANESCO wamesahau kwamba Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi? Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam watawaelewa wakiwambia mvua hazipo?
  4. mirindimo

    TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  5. Bams

    Jeshi la Polisi linapokosa weledi linageuka kuwa chanzo cha taharuki

    Tungekuwa tupo katika nchi zilizostaarabika, wakati huu, uongozi wote wa Jeshi la Polisi ungekuwa umeshaondolewa kwa mambo ya ajabu yanayofanywa na jeshi hili yanayoashiria kukosekana kwa weledi ndani ya chombo hiki. Jeshi la Polisi linapofanya kazi ya kuwatengenezea watu kesi za kubumba ili...
  6. Jemima Mrembo

    Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

    TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa. Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
  7. comte

    Mwanasheria mkuu wa serikali: Tungekuwa na wanasheria weledi habeas corpus ingetupeka mahakamani

    CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha...
  8. P

    Ni Uvivu au kutokuwa na weledi kwa watumishi wa umma. Utendaji kazi wao ni zaidi ya ufanisi dhoofu

    Kufatilia huduma katika mashirika ya Umma kunakera sana. Kuna ujinga na kujisahau sana kwa watumishi sijui shida ni nini? Kwa mfano Taasisi nyingi zina namba za simu za huduma kwa wateja ila ukipiga hazipokelewi ama hazipatikani kabisa, tatizo ambalo ungetakiwa ulisolve ukiwa kigoma tena kwa...
  9. Kaselele

    Weledi wa vita vya Urusi na Ukraine naomba mnieleweshe

    Ninavojuwa kabla ya kundi la Wegner kuanzisha uasi walikuwa ndio wahusika wakuu wa vita katika jimbo la Bakhmut na ndio ambao walikuwa wanalishikilia jimbo hilo. Sasa najiuliza: je, waliamua kuondoka kwenye jimbo hilo na kuliacha kwa wenyewe Ukraine? Au ni mchezo wa kuigiza tu ambao ulikuwa na...
  10. Bams

    Jeshi la Polisi Kutozingatia Sheria ni kwa Sababu ya Kukosa Weledi au ni Kiburi?

    Kati ya mambo ambayo hufanya jeshi la polisi na polisi wa wetu wa Tanzania kudharaulika na kuonekana limejaza watu wasio na weledi au weledi mdogo, ni pale linapofanya mambo kinyume cha sheria, au kujipa mamlaka ambayo halina. Jeshi la polisi linapotenda mambo kinyume cha sheria labda kwa...
  11. Black Opal

    SoC03 Viongozi wetu wanafanya kazi kwa weledi uliotukuka, tatizo ni sisi!

    Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu bure tu, kuwatwisha msalaba usiowahusu. Hivyo ndivyo walivyokuwa toka wakiwa wanaomba ridhaa ya...
  12. Mcqueenen

    Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  13. Bams

    Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

    Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo...
  14. S

    Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  15. Jidu La Mabambasi

    Mwigulu Nchemba na Ashatu Kijaji ni Mawaziri wenye utendaji unaotia shaka

    Mgomo wa Kariakoo umeibua mengi, lakini pamoja na kuonyesha madudu ya uncontrollable TRA na rushwa za nje nje zilizoishinda serikali kuzikabili, mgomo umeibua jambo serious la utendaji chini ya kiwango wa mawaziri wa Fedha na Mipango, pamoja na yule wa Biashara na Viwanda. Wiazara hizi lazima...
  16. F

    Tundu Lissu ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, yafanye yote kwa weledi na kadiri

    Mheshimiwa Tundu Lissu historia ya vita yako ya kutetea haki na utawala bora Tanzania imeandikwa kwa damu yako mwenyewe, na sina shaka hata kidogo wewe ni mpambanaji wa wapambanaji katika nchi yetu. Kati ya watu wachache wanaoweza kuelezea machungu ya kupigania haki na utawala bora duniani, basi...
  17. TheForgotten Genious

    SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  18. ChatGPT

    Weledi wa Juu katika Ujambazi

    Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria) ••• ••• Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego, Jambazi akamwambia, "dada hebu kuwa na adabu chukua kanga...
  19. sinza pazuri

    Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  20. S

    Hata kama amesaini Singida, ni muhimu Beno kufata weledi

    "Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu ambazo Manula hayupo,” "Huwezi jua, unaweza onyesha performance yako kwenye mechi ya kesho kwa sababu...
Back
Top Bottom