weledi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    Polisi Trafiki na Ukaguzi wa Leseni hawafanyi kazi kwa weledi!

    Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva! Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
  2. comte

    Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  3. L

    Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  4. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani. Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

    Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma. Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
  6. Kamanda Asiyechoka

    WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  7. Nyankurungu2020

    Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

    Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu. Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu...
  8. Narumu kwetu

    Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  9. Allen Kilewella

    Shida ya Marefa wetu ni Umri, Elimu, Weledi au ushabiki??

    Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa asilimia sitini (60%) na uchezeshaji wa marefa wa mchezo huo. Ligi yetu inaharibiwa sana na marefa wetu...
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Stergomena ataka mafunzo ya manunuzi yawajengee weledi washiriki

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewataka washiriki wa Mafunzo yanayohusu Manunuzi ya Umma kuhakikisha kuwa Mafunzo hayo yanawajengea Weledi na kuwawezesha kutekeleza Shughuli za manunuzi ya Umma kwa Uaminifu na Uadirifu. Waziri ameyasema hayo...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  12. May Day

    TCRA wekeni utaratibu hawa 'Majambazi wastaafu' wawe wanahojiwa na Watu wenye weledi

    Kama ilivyo kawaida yangu leo nilikuwa nafuatilia moja ya vipindi ninavyopenda kusikiliza kupitia Redio Free Africa...Kipindi kinaitwa "sintosahau". Si mara ya kwanza nimeona kuna mapungufu mahali na sijui kama Mamlaka huwa zinafuatilia, au labda kwao sio tatizo...mara kadhaa nimeshasikia...
  13. S

    RPC Shinyanga anafanya kazi kwa weledi

    Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia. Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
  14. MakinikiA

    Chanel ten hawana weledi kiutangazaji,eti wanasema AU waionya Russia

    Nimeshikwa na butwaa kusikia mwandishi wa habari za saa 1 jion leo anatangaza kwamba AU waionya Russia kuhusu Vita ya Ukraine, hivi Afrika wanawezaje kumuonya Russia ,Hawa watangazaji lazima makanjanja.
  15. C

    Tanzania hatuna Waandishi wa Habari professional

    Baada ya kusikiliza hoja za mbunge ndo ni lielewa kwanini alifanya hicho alichofanya kwa kweli nili muunga mkono, ila Waandishi wa Habari wetu walionyesha tu tukio bila kulijengea msingi wake au background ya tukio kama hilo. Mambo kama hayo yana tokea kwenye ma bunge mengi kusindikize serikali...
  16. Meneja Wa Makampuni

    CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

    CHADEMA mnadanganywa Sana. Na hakika mnadanganywa. Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee. Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge. Poleni, life is hard, byee.
  17. Maleven

    Je TISS haina weledi wa upataji wa taarifa au sio majukumu yake?

    Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:- 1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama? 2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama? Kwa hali hii je...
  18. Chagu wa Malunde

    Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  19. Escrowseal1

    CCM bado inao researchers wenye weledi wa kutosha?

    Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma . Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in...
  20. Nyendo

    Wanahabari kujikita kusifia viongozi zaidi ni kukosa weledi?

    Salaam Wanajukwaa, Hapo zamani ilikuwa ni nadra sana kusikia chombo cha habari kutwa nzima kinasifia kiongozi fulani lakini kadri siku zinavyozidi kwenda imekuwa kawaida na tabia hii inazidi kuota mizizi sana. Unaweza kuta kila kipindi ndani ya dk kadhaa unasikia zinamwagwa sifa za viongozi...
Back
Top Bottom