Habari wanabodi
Pasi na shaka, wapenda kabumbu wengi wanamfahamu au wamewahi kulisikia hili jina Dr Msindo Msolla na kwa mashabiki wa klabu ya Yanga au Simba wana mjua kama Mwenyekiti wa Club ya Yanga. Pia naamini kuna wengi sana hawamjui kiongozi wa juu kabisa wa Club ya Yanga kuwa ni Dr...
Pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya 6 chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu kwa kuamua kufanya zoezi hili muhimu na nyeti kwa usalama wa nchi yetu lakini pia kwa uchumi wa Taifa kwa ujumla.
Zoezi hili ni muhimu na nyeti sana, ni zoezi mtambuka kwani linagusa kila wizara, kila sekta...
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo:
1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya kupindukia ya fedha za umma?
NB: Trilioni 1.5 aliyohoji Zitto nayo je?
2.Kama lengo ni uwazi wa mkopo...
Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa...
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana.
Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.
Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021
==========
Watuhumiwa wote...
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali...
Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua.
Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU!
Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU!
Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto)
Kila mtu ana HAKI
Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
Ni nani?
Katumwa na nani?
Yuko na akina...
daraja la selander
hamza
kukamatwa
kupambana
kuuawa
majeshi
mauaji dar
mauaji ya polisi
mbinu
mhalifu
mikono
police
polisi
polisi tanzania
risasi
selander bridge
shujaa
tukio
uhalifu
wakati
weledi
Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC.
Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo.
Nadhani kuwe na...
Habarini za leo ndugu WaTanzania,
Convincing power ni uwezo wa kutumia ulimi wako vizuri kwa kutumia lugha ya kawaida isio kali kumshawishi mtu akupatie kile unachokihitaji.
Mtu mwenye convincing power hatumii lugha za ajabu hujenga hoja kwa kutumia lugha ya kawaida sana isiyo kwaza wala...
Hello Wakuu,
Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini.
Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.